Ni kweli mke anafata hiki kwa mume?

Ni kweli mke anafata hiki kwa mume?

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,967
Za siku wanajukwaa, poleni kwa majukumu.

Leo nakuja na hoja hii, kwa waliohudhuria semina za ndoa makanisani/msikitini na hata kwenye kitchen part na hata beg part, mtakuwa mmekutana na msisitizo huu, kuwa mwanamke anafuta mamboz yaani yale mambo yetu ya 6 kwa 6, lazima tuwashughurikie.

Maana kama ni chakula hata kwao alikuwa anakula, kama ni kitanda cha kulala hata kwao alikuwa nacho kizuri kuzidi hata hicho chako mume. Nimekuwa nikijiuliza ni kweli maana hata akiwa kwao mbona mamboz alikuwa pia anayapata japo ya kuiba wanawake fungukeni, mnafata nini kwa mume.
 
kwa vile ume waruhusu wanawake tuu.... ngoja nikae pembeni.... la sivyo ungependa majibu yangu
 
Za siku wanajukwaa, poleni kwa majukumu. Leo nakuja na hoja hii, kwa waliohudhuria semina za ndoa makanisani/msikitini na hata kwenye kitchen part na hata beg part, mtakuwa mmekutana na msisitizo huu, kuwa mwanamke anafata MAMBOZ ( yaani yale mambo yetu ya 6 kwa 6), lazima tuwashughurikie, maana kama ni chakula hata kwao alikuwa anakula, kama ni kitanda cha kulala hata kwao alikuwa nacho kizuri kuzidi hata hicho chako mume. Nimekuwa nikijiuliza ni kweli?? maana hata akiwa kwao mbona MAMBOZ alikuwa pia anayapata japo ya kuiba??? Wanawake fungukeni, mnafata nini kwa mume????

Kuzaa watoto
 
Ni kweli mke anafata hiki kwa mume?
mapigani_ya_mke_na_mume.jpg

ha ha ha aah hahaha kabla ya kunioa napata 6 kwa 6.. ujanikuta bikra,...... sijui kama ni kweli
 
Ukweli ni kwamba ni 6 kwa 6,kuna dada mmoja ni jirani yetu aliolewa akakuta kumbe jamaa hawezi kupiga mambo na alishinikzwa na ndugu zake kuoa.Baada kama ya wiki mbili bila mume kufanya lolote kwenye 6 kwa 6,bi arusi akafungasha kurudi nyumbani kwao.Alipofika nyumbani kwao wakamuuliza kwa nini amerudi nyumbani akawa kimya hajibu lolote.Akaulizwi hauli akasema anakula,hulali akasema analala,huvai akasema anavaa,kuna pesa yoyote ya mahitaji unaomba hupewi akasema anapewa pesa yoyote anayotaka.Sasa tatizo ni nini? akaomba aitwe shangazi yake ndo akafunguka kwake kuwa kile alichokifuata kwa mume hajakikuta.KWA HIYO KINACHOFUATWA NI 6 KWA 6.
 
kwa Wale WAUMINI... Mwanaume aliumbwa kutoka kwa udongo, Ila mwanamke aliumbwa kutoka kwa Ubavu wa Mwanaume... Kwa hio ni lazima arudi alikotoka kabla ya kuirudia ardhi. Jukumu la msingi laweza kuwa kuzaa, kuongezeka na kuijaza nchi. Si ndio
 
kwa Wale WAUMINI... Mwanaume aliumbwa kutoka kwa udongo, Ila mwanamke aliumwa kutoka kwa Ubavu wa Mwanaume... Kwa hio ni lazima arudi alikotoka kabla ya kuirudia ardhi. Jukumu la msingi laweza kuwa kuzaa, kuongezeka na kuijaza nchi. Si ndio
ndio mkuu Tized
 
Last edited by a moderator:
Za siku wanajukwaa, poleni kwa majukumu.

Leo nakuja na hoja hii, kwa waliohudhuria semina za ndoa makanisani/msikitini na hata kwenye kitchen part na hata beg part, mtakuwa mmekutana na msisitizo huu, kuwa mwanamke anafuta mamboz yaani yale mambo yetu ya 6 kwa 6, lazima tuwashughurikie.

Maana kama ni chakula hata kwao alikuwa anakula, kama ni kitanda cha kulala hata kwao alikuwa nacho kizuri kuzidi hata hicho chako mume. Nimekuwa nikijiuliza ni kweli maana hata akiwa kwao mbona mamboz alikuwa pia anayapata japo ya kuiba wanawake fungukeni, mnafata nini kwa mume.

suwaulize waliokuzaa kwanza
 
Back
Top Bottom