Mashindano ya makalio Makubwa Marekani...!!!

baptist

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
434
Reaction score
279
Mwanamke mwenye makalio makubwa
Ni swala la kushangaza kwamba shindano la
kumtafuta mwanamke mwenye makalio
makubwa mjini New York Marekani litatumiwa
kama kigezo cha upasuaji wa mapambo ,huku
sheria ya wanawake wanaoruhusiwa
kushindana wakitakiwa kuwa ambao
hawajafanyiwa upasuaji wowote wa mapambo.
Mwandalizi wa shindano hilo ni daktari Michael Jones
ambaye anamiliki kampuni ya mapambo ya upasuaji
ya Lexington.
Mbali na kandarasi hiyo ya kumodel mshindi atapata
dola 2,000 fedha taslimu.
Gazeti la The New York post limeripoti kwamba
wanawake 68 wanashiriki katika shindano hilo.
Wanaoshiriki ni pamoja na model warefu kutoka
Washington na mkufunzi wa kibinafsi wa mchezaji
densi Brenda Monks ,Chelsea Simone.
Ili kufuzu wanaotaka kushiriki waliulizwa ni kwa nini
wanajivunia makalio yao?.
Mwanamke wa miaka 20 Derby Pucket alisema
kwamba makalio yake makubwa yanatokana na
mazoezi ,ulaji wa kuku,biskuti na chakula
kinachompa mafuta mengi.
Mwishoni mwa siku,waliofika fainali walipunguzwa
hadi kufika watu 13 ambao watatawazwa mwishoni
mwa mwezi huu. source BBC
 
Tuwekee na picha bhasi ya hao wanaoshindanishwa.
 
Size zenyewe ndio hizo za kina jlo na kim k....
 
Kiboko ya makalio makubwa ni bongo! U.s.a wanaiga tu.!
 
Mwanamke mwenye makalio makubwa
Ni swala la kushangaza kwamba shindano la
kumtafuta mwanamke mwenye makalio
makubwa mjini New York Marekani litatumiwa
kama kigezo cha upasuaji wa mapambo ,huku
sheria ya wanawake wanaoruhusiwa
kushindana wakitakiwa kuwa ambao
hawajafanyiwa upasuaji wowote wa mapambo.
Mwandalizi wa shindano hilo ni daktari Michael Jones
ambaye anamiliki kampuni ya mapambo ya upasuaji
ya Lexington.
Mbali na kandarasi hiyo ya kumodel mshindi atapata
dola 2,000 fedha taslimu.
Gazeti la The New York post limeripoti kwamba
wanawake 68 wanashiriki katika shindano hilo.
Wanaoshiriki ni pamoja na model warefu kutoka
Washington na mkufunzi wa kibinafsi wa mchezaji
densi Brenda Monks ,Chelsea Simone.
Ili kufuzu wanaotaka kushiriki waliulizwa ni kwa nini
wanajivunia makalio yao?.
Mwanamke wa miaka 20 Derby Pucket alisema
kwamba makalio yake makubwa yanatokana na
mazoezi ,ulaji wa kuku,biskuti na chakula
kinachompa mafuta mengi.
Mwishoni mwa siku,waliofika fainali walipunguzwa
hadi kufika watu 13 ambao watatawazwa mwishoni
mwa mwezi huu. source BBC

kweli wonders will never end.
 
Na bado yatakuja mpaka mashindano ya wenye chogo!
 
Back
Top Bottom