Sisy2
Senior Member
- Dec 22, 2013
- 132
- 71
Habari zenu ndugu na dada wa nyumba hii.
Mojawapo ya changamoto inayoikabili dunia ya sasa ni suala la kupotea kwa uaminifu kwa wapenzi na wanandoa.nini tatizo njooni tutoe hoja zenye nguvu.
Pamoja na tatizo hilo bado kuna masalia ya watu waaminifu.kama mjuavyo jamii bora inajengwa na wazazi bora wenye maadili,nini sababu wewe baba,kaka ,dada na mama kuchepuka tatizo ni nini? na huko nje mnakuta kuna ubora na unafuu
Njooni tujitathimini,karibuni.