Warning: Maharage makavu sio mazuri kwa matumizi

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,407
Reaction score
100,611
Heri ya Pasaka,
Poleni kwa mfungo na vurugu za Watunga Katiba, Mpwa wenu leo nimeona ni vyema ku-share na nyie hii kitu, hasa hasa kwa vijana wangu wale wenye kupendelea "Maharage" makavu kuwa ndio dili.

Baada ya kuchunguza na pengine na kaji-uzoefu kidogo nimedhihirisha kuwa "maharage" makavu si mazuri kwa consumption kwa sababu ya friction wakati wa kuyatumia. Ili ule bila kukwamwa na kukusababishia vidonda hakikisha "maharage" yako yana mchuzi wa kutosha kabla hujaanza kula. kwa kufanya hivyo utajiokoa wewe na huyo mwenye maharage yake, Achana na ile dhana kuwa maharage yenye mchuzi mwingi si mazuri, ASIKUDANGANYE MTU ILI UBAKI SALAMA, HAKIKISHA kuna mchuzi wa kutosha kabla hujaanza kuyatumia na ili upate mchuzi huo LAZIMA uzingatie haya yafuatayo;
  1. Chochea moto mwingi
  2. acha papara za kutaka kuonja, subiri yaive
  3. Yanapokaribia kuiva utajua tu maana dalili zipo nyingi na wazi
  4. Hakikisha unakula yakiwa bado ni ya moto, usisubiri yapoe maana yakipoa mchuzi utapotea
Haya nawatakia ALHAMISI YA AMRI kwenu wote, mkumbuke kuwashirikisha na watoto wenu

CC: CYBERTEQ
 
Last edited by a moderator:

Nimeipenda ya kiutu uzima. Waliooa au walio na marafiki wa kugusana watafurahia hili somo
 
heheheh!! kuna liharage limekugomea kuiva nini? mpaka gesi imeisha harage haliivi.
hapana, nimewakumbusha vijana wangu, naona wanasifia maharage makavu lakini maharage haya si mazuri kwa matumizi, sijui Baba V anasemaje
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom