Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

About Me: -28 years of age. -Kurya. -176 cm urefu. -Maji ya kunde. -Degree holder currently. -Christian. -Sijawahi kuoa. -Sina mtoto. Awe: -25-35 years of age. -Kabila lolote. -Elimu at...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Usemi huwa nausikia tu,sijui unamaana gani wana Jamii forums. Ukiamua kuwa na mahusiano ya mapenzi na binamu yako ni dhambi. Sababu kuna binamu yangu ametokea kunivutia kimapenzi.Je niwe nae au...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Wakuu mimi nimehamia Tabora kama wiki 2 ila nimeachwa na mpenzi wangu alivyoona nimejiunga na jeshi, natafuta marafiki wa kike wa kupeana kampani. Kwa wale waliopo tabora alie tayari naomba ani pm.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hivi umeshakuwa na mahusiano na wanaume/wanawake wangapi? Should such question be asked in a relationship. Is it important or rather irrelevant. Have you ever asked your partner the question or...
3 Reactions
95 Replies
12K Views
Mara nyingi mi naweza kusema huwa tunajitafutia laana zisizo na sababu na hii inatokana na tamaa za kimapenzi, unakuta mtoto wa miaka 16, 17 anafanya mapenzi na kipindi hicho bado ni mwanafunzi...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Anayejitambua mwenyewe upendo wa dhati mfupi wastani na Kwa ambaye yupo tayar naomba anichek pm ili tuweze kuongea zaidi na awe anaishi dsm karibu na maeneo ya Mikocheni.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ilinitokea jana nilimpigia simu mdogo wake alie kua mpenzi wangu kabla ya kuachana badala ya kuniita shem ananiita kaka hivi anakua na mtazamo gani nfsini mwake?
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Nilikuwa na mpenzi wangu miaka miwili iliyopita na tuliznguana na hatimaye kuachana kutokana na matatizombalimbali. Ndugu wana Jamii forums kilichonileta leo humu ni ushauri wenu ili nijue cha...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni mke wa ndoa abainika kuiba pesa za mume zaidi ya mara moja wakati mume anajitahidi kumpa kila anachohitaji. Hatima kwa familia yake.Je unashauri nini kifanyike.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nawashukuru kwa uwepo wenu. Nimerudi hapa kwa mara nyingine kutoa mrejesho wa uzi wangu niliopost hapa kutafuta rafiki na Mume. Kwanza, ninamushukuru Mungu kwa yote. Pili ninashukuru...
8 Reactions
29 Replies
4K Views
Nakumbuka miaka ile ya nyuma sana nilitendwa harafu nikaona wanaume wote ni simba sikutegemea hata siku moja kuwa kuna waaume wapo na wanaupendo,baada ya kukaa kwa muda mrefu na kila anaenitongoza...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Sijui kwa nini lakini kitendo cha yeye anavuta na mimi navuta, kitendo cha yeye kuniwashia embassy na mimi kumuwashia, kitendo cha kuombana pafu hulu bia ipo kwenye glass zetu. Na kitendo cha...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Dear greetings to you. Tusaidiane katika hili ambalo kwa namna moja ama nyingine linaweza kuwa msaada kwa baadhi ya watu, na pia kupelekea kupungua kwa usaliti na hata kuvunjika kwa ndoa za...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Umekuja ofisini, pamoja na u busy wangu nikakupokea kwa ukarimu,nikakuhudumia kwa kiwango ambacho hakitamkiki na mwenyewe ukafurahi, ingawa dedline ya hiyo kitu ilikuwa imeisha lakini nikapigana...
1 Reactions
92 Replies
8K Views
Nimekuwa nikibishana sana na wadau kuwa hakuna dawa ya mapenzi na ni uwongo mtupu huku nikishikilia imani yangu kuwa binadamu hatutakiwi kuwa washirikina na tunapashwa kumtumainia mwenyezi mungu...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Anatafutwa mdada age of not more than 27. Ani pm haraka mno.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna ndugu yangu ana mke wake but hawajafunga ndoa mpaka sasa wana miaka 7.Tatizo ni kwamba huyu mkewe ana kazi na ndugu pia ana kazi,mke wake amekua ni mtu wa malalamiko sana. Kazi za nyumban...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Heshima kwenu wakuu. Jamani wengi wetu nikiwemo mimi tumekuwa tunaikana nafasi ya pesa kwenye mapenzi tulijadili hili mwanamke ili apendwe uzuri wake ni vital ajipodoe sio too much, urembo...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
This goes to every Love connect member. Not everyone that you see in a relationship is happy and comfortable. Many are in pain, they're stressed, ever in regrets, tears, torture, they have...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom