B.4really
Senior Member
- Jan 30, 2013
- 199
- 89
Nilikuwa na mpenzi wangu miaka miwili iliyopita na tuliznguana na hatimaye kuachana kutokana na matatizombalimbali.
Ndugu wana Jamii forums kilichonileta leo humu ni ushauri wenu ili nijue cha kufanya,mnamo tarehe 26/06/2014 nilkutana na mpenzi wangu wa zamani kimwili kitu kilichompelekea yeye kudai nimempa ujauzito.
Mimi alvyonieleza sikukataa kwani chochote alichotaka kuhusiana na suala la mahitaji ya kulea mimba niltimiza ila sasa kilichonishtua hii leo ni pale aliponitumia message kunitaarifu kuwa kajifungua ikizingatiwa ni amekuwa mjamzito kwa takribani mwezi wa saba sasa,hivyo basi wana Jamii forums hii ya mtu kujifungua na miezi 7 je ni sahihi au nilikuwa nahudumia kiumbe kisichonihusu.
Ushauri wenu tafadhal.