Meizon
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 279
- 105
Heshima kwenu wakuu.
Jamani wengi wetu nikiwemo mimi tumekuwa tunaikana nafasi ya pesa kwenye mapenzi tulijadili hili mwanamke ili apendwe uzuri wake ni vital ajipodoe sio too much, urembo wake ni muhimu by nature katika mapenzi.
Lakini kwa mwanaume,hakuna gym,wala pamba kali,wala swagga, hivi ni minor tu. Mwanaume kipodozi ni pesa tu ndio maana mwanamke akipendeza hujiamini haijalishi ana pesa au hana.Lakini mwanaume hujiamini zaidi akiwa vizuri mfukoni hii ni by nature, mwanaume ni provider siku zote,get money guys, attrack women.
Nawasilisha.