Nilivyokua bado nimezubaa Aisha alipita tena, mara hii alikua na kanga moja tuu tena iliyolowanishwa makusudi. Aibu ikaanza kuniingia pale pale huku moyoni nikawa najiuliza.
Kwa hofu kubwa...
[SIZE=3]Kuna madhara gani ambayo anayoweza kumbana nayo mwanaume kumwacha mke mwenye watoto anayoweza kuyapata kiuchumi na kijamii inshort madhara kwa ujumla kisaikologia nk.
BAADHI ya kinamama katika Kijiji cha Sazira Kata ya Sazira wilayani hapa wameacha kutumia vyandarua vyenye dawa ya kuulia mbu kwa kuwa zinawapunguzia waume zao nguvu za kiume.
Wakichangia...
Habari zenu members.
Mi niko poa sana,ila kwa leo ningependa wasichana wote wa Jamii Forums wenye kujisisikia jirekebisheni,kama kujisikia kwako ni natural mistake basi punguza walau kidogo...
Jamani mwenzenu nawapenda wanaume wenzangu wenye sura nzuri kuliko hata wenye Pesa.
Jamani Pesa Makaratasi, uzuri kwangu ndo habari ya mjini, mtakao nuna na muendelee kununa hapa sura tu mwaya...
Kuna rafiki yangu mmoja ambaye nilikuwa namheshimu na kumtumia kama mshauri wangu, lakini juzi kati amefanya kitendo ambacho kimenifanya nimuone hafai.
Heshima yangu nilikuwa nampa kwa kuwa...
Mwanaume wa ukweli anatafuta mwanamkeambaye anaamini kwamba kwake atakuwa boramaisha yake yote. Mwanaume wa ukwelianapomfuata mwanamke ambaye anaamini kwamba atakuja kuwa mke wake, basi kuna...
Salam wana Love connect.
Najitokeza kwenu kutafuta msichana/ mwanamke mwenye vigezo kwajili ya kuwa nae kwenye mahusiano ya kiutu uzima:
Umri:Miaka 23-40.
Rangi:Mweupe /maji ya kunde...
Habari zenu wanajamvi.
Kwa miaka ya hivi karibuni kumekua na kesi nyingi za wapendanao hasa wale ambao tayari wameshafunga pingu za maisha kuchepuka toka njia kuu na kuwa wapenzi wengine wa...
Kuna uzi nilipost hapa kutafuta mke wa kuoa, yule dada alikuwa na vigezo vyote nivitakavyo but hakuwa serious kwa sababu yeye aliniambia atakuwa tayari kuolewa Mwakani, wakati mimi nahitaji kuoa...
Najua watu wetu tumebobea kwenye haka kamchezo kitamu sana ndani ya sekunde moja, lakini kwa upande mwingine yaweza kukugharimu maisha yako yote.Ukijaribu kuangalia kwa undani mahusiano kati ya...
Kila kitu hapa dunia ili ufanikiwe kwa 100% unatakiwa ukifanyie mazoezi,katika uchungunzi wangu umebaini ya kwamba wavulana waliojiwekea malengo ya kutokutongoza kuanzia utotoni au wakati wanasoma...
Bestitoz MMU.
Kwa Kasie wiki hii yaliyojiri ni upande wa ofcn, tangu jumatatu ya wiki hii ofisini kwetu nimejikuta nakuwa mdada peke yangu na wababa 2.
Wengine mmoja kasafiri kikazi, mwingine...
Women: "If you don't take risks you won't be married"this is your most difficult exam,while trying to escape"HIT & RUN tactics"just take risks as an entrepreneur,umdhanie ndiye kumbe siye...
Habari wana jamvi, mimi ni kijana na nina mchumba wangu wa muda mrefu kidogo ingawa tuna misukosuko mingi sana. Ili ujue tatzo la mchumba wangu huyu, naomba usome mlolongo wa matukio ktk uhusiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.