Hivi nyinyi wanawake mbona makatili sana

Hivi nyinyi wanawake mbona makatili sana

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
793
Umekuja ofisini, pamoja na u busy wangu nikakupokea kwa ukarimu,nikakuhudumia kwa kiwango ambacho hakitamkiki na mwenyewe ukafurahi, ingawa dedline ya hiyo kitu ilikuwa imeisha lakini nikapigana kukufanikishia azma yako

Kwa upole na unyenyekevu wakati unaniaga ukaona unipe namba yako in case for anything mi sikukuomba na wala sikuwa na uhitaji wa hilo, ila kwa kuwa ni mrembo mi nikavutiwa na wewe, siku hyo hyo tukakubaliana tukutane mahali tubadilishane mawazo ukakubali bila hiyana.

Ukala vitu vyangu vya takribani 70,000/= nikakuomba papuchi wala hukuwa mkaidi ukanipa siku hiyohiyo.Namaliza kukugegeda naenda kuosha le dushe, we unazama kwenye wallet yangu unaiba 140,000/=.Tunaagana nimekupa 50,000/=narudi nyumbani, kukagua wallet yangu nakuta pesa pungufu na hesabu zangu nakuuliza unakataa na kuapa kabisa.

Ina maana ule ukarimu wangu wote ofisini mpaka pale Hoteli ni bure kabisa, hivi kwa nini nyinyi wanawake wa siku hizi mna roho mbaya hivyo jamani

Sasa we umeniibia mi sihangaiki na wewe, nakupa siku tatu uwe umerudisha pesa zangu vinginevyo mi nakumaliza ofisini kwenye yale mambo yako.

Unajijua # Juzi.
 
Hahaha... Kaka kuna wenye busara waliosema kuwa "Hasara roho, pesa makaratasi" Samahea bure tu, next time usimwamini mwanamke usiyemfahamu vizuri. Papuchi tamu, lakini imeondoka na 190,000 yako.
 
Hahaha... Kaka kuna wenye busara waliosema kuwa "Hasara roho, pesa makaratasi" Samahea bure tu, next time usimwamini mwanamke usiyemfahamu vizuri. Papuchi tamu, lakini imeondoka na 190,000 yako.

Mi najua kaka pa ku mmaliza kudadadeki napoteza kumbukumbu zake zote manina
 
Umekuja ofisini, pamoja na u busy wangu nikakupokea kwa ukarimu
Nikakuhudumia kwa kiwango ambacho hakitamkiki na mwenyewe ukafurahi, ingawa dedline ya hiyo kitu ilikuwa imeisha lakini nikapigana kukufanikishia azma yako

Kwa upole na unyenyekevu wakati unaniaga ukaona unipe namba yako in case for anything mi sikukuomba na wala sikuwa na uhitaji wa hilo, ila kwa kuwa u mrembo mi nikavutiwa na wewe, siku hyo hyo tukakubaliana tukutane mahali tubadirishane mawazo ukakubali bila hiyana.

Ukala vitu vyangu vya takribani 70,000/= nikakuomba papuchi wala hukuwa mkaidi ukanipa siku hyohyo
Namaliza kukugegeda naenda kuosha le dushe, we unazama kwenye wallet yangu unaiba 140,000/=.Tunaagana nimekupa 50,000/=narudi nyumbani, kukagua wallet yangu nakuta pesa pungufu na hesabu zangu
Nakuuliza unakataa na kuapa kabisa.

Ina maana ule ukarimu wangu wote kuanzia ofisini mpaka pale hoteli ni bure kabisa, hivi kwa nini nyinyi wanawake wa siku hizi mna roho mbaya hivo jamani

Sasa we umeniibia mi sihangaiki na wewe, nakupa siku 3 uwe umerudisha pesa zangu vinginevyo mi nakumaliza ofisini kwenye yale mambo yako ***** zako

Unajijua#juzi
Ss haina shida ya visas ww kubaliana nae tena umle bure ht mara tatu ufidie garama kdg haitakuuma
 
katika hali ya ustaarabu wa kawaida...unamuonea huyo dada

kama wakati unampa elfu 50 hukugundua loss ya pesa hadi mnaagana huwezi mlaumu

ulipaswa kabla ya kuagana nae ujikague na ikibidi umuulize ujue ukweli...

ya wezekana umepoteza kwingine kabisa

labda umesahau.......
 
Kwa mwanamke mliyokutana kwa mara ya kwanza, muda wa kuoga unamlazimisha yeye ndiyo anze kwenda bafuni, akienda wewe unamfuata nyuma mnaoga wote alafu mnatoka wote.
 
katika hali ya ustaarabu wa kawaida...unamuonea huyo dada

kama wakati unampa elfu 50 hukugundua loss ya pesa hadi mnaagana huwezi mlaumu

ya wezekana umepoteza kwingine kabisa

labda umesahau.......

Kwamazingra hayo kweli atafakari wapi umejichanganya.. Huenda hata alipohesabu pesa kabla hawajaonana hakuwa sahihi.. Changanya ubongo mwanaume usipaniki..
 
Kwa hiyo kwa hesabu za haraka umepoteza kama 260,000/= kisa mbunye...
 
huyu naye kila siku na story za uongo za kulizwa, hii ni biashara ama!!!! waongo bwana!!!
 
Kwa maelezo yako we ndo mzembe!!tamaa mbele kifo nyuma!!

Utatembea na customer wangapi kwa style hiyo eti Kisa umemsaidia,halafu kakupa namba mwenyewe,halafu ni mrembo ukaona mkutane mbadilishane mawazo,sasa kubadilishana mawazo ukaomba na mgegedo kabisa!!wakaka wengine bwana akili zao cjui zipoje,?cku moja tu matukio lukuki!!
 
Umekuja ofisini, pamoja na u busy wangu nikakupokea kwa ukarimu
Nikakuhudumia kwa kiwango ambacho hakitamkiki na mwenyewe ukafurahi, ingawa dedline ya hiyo kitu ilikuwa imeisha lakini nikapigana kukufanikishia azma yako

Kwa upole na unyenyekevu wakati unaniaga ukaona unipe namba yako in case for anything mi sikukuomba na wala sikuwa na uhitaji wa hilo, ila kwa kuwa u mrembo mi nikavutiwa na wewe, siku hyo hyo tukakubaliana tukutane mahali tubadirishane mawazo ukakubali bila hiyana.

Ukala vitu vyangu vya takribani 70,000/= nikakuomba papuchi wala hukuwa mkaidi ukanipa siku hyohyo
Namaliza kukugegeda naenda kuosha le dushe, we unazama kwenye wallet yangu unaiba 140,000/=.Tunaagana nimekupa 50,000/=narudi nyumbani, kukagua wallet yangu nakuta pesa pungufu na hesabu zangu
Nakuuliza unakataa na kuapa kabisa.

Ina maana ule ukarimu wangu wote kuanzia ofisini mpaka pale hoteli ni bure kabisa, hivi kwa nini nyinyi wanawake wa siku hizi mna roho mbaya hivo jamani

Sasa we umeniibia mi sihangaiki na wewe, nakupa siku 3 uwe umerudisha pesa zangu vinginevyo mi nakumaliza ofisini kwenye yale mambo yako ***** zako

Unajijua#juzi

hayo ndio malipo yako maana baadhi ya,wanaume ni malaya sana yaani ukimsaidia mwanamke basi waomba papuchi teh teh well done kwa huyo dada
 
Ss haina shida ya visas ww kubaliana nae tena umle bure ht mara tatu ufidie garama kdg haitakuuma

Sitaki mi nita deal nae kiofisi tu tukomeshana nimempa siku 3 zimebaki mbili
 
Back
Top Bottom