Swali hili sio muhimu kumuliza mpenzi

Swali hili sio muhimu kumuliza mpenzi

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394


Hivi umeshakuwa na mahusiano na wanaume/wanawake wangapi?

Should such question be asked in a relationship. Is it important or rather irrelevant.

Have you ever asked your partner the question or have you been asked. What was the response.
 
Pale mwanzoni mnapotongozana ni kawaida kuuliza ushakuwa na wapenzi wangapi,ila sasa baada ya kuwa pamoja kuuliza uliza tena utakuwa hujiamini
 
weye bibiye Zinduna ushauliza wangapi?
 
Last edited by a moderator:
The past defines the future
If you don't know history you can't understand the present/future

A girl who has slept with bunch of men before you date her will continue the trend because her body can no longer adapt to a single diick. Like they say Once a soldier always a soldier
 
Kimsingi huwezi pata jibu katika swali hili, either kwa mwanaume au mwanamke.

Inawezekana kabisa hata wakati huo wanapoanza mahusiano, bado kila mmoja aweza kuwa na wapenzi wengine wengi tu. Kuanzisha mapenzi mapya ni kujitoa muhanga, jambo la muhimu ni kucheki status kama utataka kutembea bare foot!
 
Mie huwa naona swali kama hilo linaulizwa na mtu asiye jiamini katika mahusiano .....kwani ni kinyaa kuulizi idadi ya mikuyati ambayo ashapigwa toka enzi za mababu.
 
The past defines the future
If you don't know history you can't understand the present/future

A girl who has slept with bunch of men before you date her will continue the trend because her body can no longer adapt to a single diick. Like they say Once a soldier always a soldier

And a man that has slept with bunch of women?
 
Ananiambiaga nimeamua kuwa na wewe, past yangu itakusaidia nini....!?
Huwa sina cha kumjibu, then nateremsha zangu kilaji taratibu...
 
Kaka Watu8 it is always advisable to leave the past where it belongs.

Hiyo ni njia ya kutafuta excuse kwa wanawake.
Ukweli ni kwamba, mwanamke anatakiwa akitulize mpaka atakapoolewa ndo mana amewekewa bikra kwa ajili ya mmewe tu.
 
Last edited by a moderator:
mimi huwa silipendi .. japo nalijjibu kwa ukubwa kwamba nishakuwa na wengi sana one night stand, mwezi tukaachana miaka 2 nikaachana na hata wewe ukinizengua nakuacha kwani mwanaume mwenyewe
 
mimi hguwa silipendi .. japoa nalijjibu kwa ukubwa kwamba nishakuwa na wengi sana one night stand, mwezi tukaachana miaka 2 nikaachana na hata wewe ukinizengua nakuacha kwani mwanaume mwenyewe

mkuu una makavu live ..... i like your confidence .
 
mimi huwa silipendi .. japo nalijjibu kwa ukubwa kwamba nishakuwa na wengi sana one night stand, mwezi tukaachana miaka 2 nikaachana na hata wewe ukinizengua nakuacha kwani mwanaume mwenyewe


Hii ni nguvu ya keypads au ni Jerry Springer..? Hahaha! Mitandao bhana..!
 
Nikiuliza ni vile nataka kucheza na saikolojia yake, na jibu atakalonipa haliwezi kubadilisha chochote coz nina uhakika kwa asilimia kubwa ni wachache wenye uthubutu wa kusema ukweli.
Huwa nasema, karne hii ukipata mtu alotembea na watu wanaopungua watano utakuwa umepata bikra..iwe ya kiume au ya kike..
 
Back
Top Bottom