Ni mke wa ndoa abainika kuiba pesa za mume zaidi ya mara moja wakati mume anajitahidi kumpa kila anachohitaji. Hutuma kwa familia yake...je unashauri nini kifanyike?
Mume akiombwa hela anatoa, na hamuulizi kuhusu vipi anatumia hela anayompa. Amemtega ndo akapata ushahidi kamili ila alipoulizwa mwanamke amesema hajui nani anechukua