(Ke) Kama upo tayari kuolewa karibu

(Ke) Kama upo tayari kuolewa karibu

imanihope

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
384
Reaction score
98
About Me:
-28 years of age.
-Kurya.
-176 cm urefu.
-Maji ya kunde.
-Degree holder currently.
-Christian.
-Sijawahi kuoa.
-Sina mtoto.

Awe:
-25-35 years of age.
-Kabila lolote.
-Elimu at list kidato cha sita awe na shughuli halali ya kumuingizia kipato.
-Dini yeyote.
-Awe hajawahi kuolewa(kama uko divorced uwe tayar kutoa sababu).
-Kama una mtoto asizidi mmoja then uwe tayari kutoa sababu za kutoolewa na uliyezaa nae.

Njoo pm kama una sifa pia walio na ushauri karibuni pm.
 
Wakuu kama unaona post haikuhusu hauna haja ya kuja pm...pita kimya kimya then sijapata hasa niliyekusudia please njoo kama upo pia wa kushauri lolote karibu
 
Back
Top Bottom