Mkewe adai waachane

Mkewe adai waachane

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,117
Kuna ndugu yangu ana mke wake but hawajafunga ndoa mpaka sasa wana miaka 7.Tatizo ni kwamba huyu mkewe ana kazi na ndugu pia ana kazi,mke wake amekua ni mtu wa malalamiko sana.

Kazi za nyumban kwake znamchosha maana mtoto huwa anapelekwa shule mpaka jion inamaana hakuna haja ya house girl,si mnajua kuna kazi za kupika,usafi nk.

Sasa hizo ndo hataki na ndugu anasema mke wake ni mwalimu anarudi home saa nane mchana,huwezi amini anadai waliwahi kukaa na vyombo vchafu kwa sku 4 na vko kwenye chumba wanacholala vinanuka,mke kakataa kuosha na akadai akijsikia ataosha aspojskia vtakaa.

Pia anataka mumewe anaerudi usku wa saa tatu eti amsaidie kazi za ndani kama kuosha mtoto,vyombo,kupika,usafi jamaa anasema huwa anafanya hivyo mara moja moja but asipofanya mke maneno mpaka mda wa kulala,akidai hapendwi bora waachane.

Ni heri akagegedwe nje au apate wanaume wa kumgegeda na kumuacha kuliko kuishi na jamaa asiyetaka msaidia kazi na siku hizi wakipishana kdogo tu mke anasema waachane yaani hata maneno kidogo mke anasema waachane,mke sku zote huwa anamwambia ndugu jnsi wenzake kazini.

Wanavyosmulia wanavyopendwa na waume zao na kusaidiwa kazi za ndani basi akirudi nayo hayo panachmbka ndan but ndugu anasema anampenda mkewe na hataki kubadili wanawake but mkewe anadai waachane tu kwa inshu kama hizo. wadau but mimi kwa tabia hizi kuoa ni kugumu sana maana lolote laweza tokea.

Ushauri wenu.
 
Sasa mtu ameshasema kama anampenda na hataki kubadili unambadiliaje au unamshauri nini hapo zaidi ya kumwambia avumilie,mwanamke yuko nae miaka7 hajamuoa na majibu ni kama hayo kua akafanyweje sijui nje mmm mpe hongera kwa moyo wa ustahmilivu,hayo maneno makali...........
 
pole zake..hapo cha muhimu ni ijulikane kama huyo dada bado anampenda huyo bwana na pia kama huyo bwana bado anampenda huyo dada..kama bado wanapendana basi wapeane break tu huku kila mmoja ajaribu kujirekebisha na kasha warudi pamoja..naamini wataelewana..ILA sasa, kama huyo dada hampendi tena huyo bwana, ni bora tu waachane maana mapenzi hayalazimishwi na mtu akilazimisha mwisho wake ni maumivu tu. Pia kwa kuwa bado hawajafunga ndoa, naamini bado wana nafasi ya kurekebisha mambo yao kwa hali kwamba wote wawili BADO WANAPENDANA...ila km hakuna mapenzi basi kila mtu aendelee na maisha yake kivyake.
 
Sasa si amsadie kazi mkewe, wote wamerudi usiku kutoka kutafuta pesa kwanini yeye asimsaidie mkewe kazi?????
wanaume wengi wanaona aibu kuwasaidia wake zao kazi kisa tu ataonekana bushoke, lakini jamani mwanamke nae ni binadamu anachoka kama mwanaume, sasa sio kazi zote afanye tu mama wa watu. kibaya zaidi wanaume wengine hata kusaidia kumbembeleza mtoto hawawezi, mama anahangaika na kazi, huku mtoto analia, yeye baba anabadili tu station kwenye runinga, si vizuriiiiiii.
 
miaka saba.....kitanda kimoja hawajafunga ndoano.......kazi ipo....mzazi mwenzio keshapata wa kumuogesha, pole zake. Ila kusaidiana ni wajibu wa wanandoano wote.....
 
Me huwa naogopa sana mwanamke ambae tukikosana tu anatishia kuachika,ujue huyo tayari ana kidume huko nje kinampa kiburi,akianza tu namwashia namwashia full lights.
Pia huyo mwanamke wake ana asili ya uchafu na ana akili za kushikiwa.
 
mwambie ndugu yako asijidanganye huyo mwanamke anamtafutia kisa, kashapenda pengine huyo, nakwambia kuna jamaa kamzuzua kabisa. kosa kubwa zaidi ni kwamba hawajafunga ndoa, pole yake.

"i will never leave a man to who i live with him for a such long period, just bcoz of stupidity. labda chanzo awe yeye".

sorry kwa kingereza kibovu wapendwa.
 
miaka saba.....kitanda kimoja hawajafunga ndoano.......kazi ipo....mzazi mwenzio keshapata wa kumuogesha, pole zake. Ila kusaidiana ni wajibu wa wanandoano wote.....

Kusaidiana kupo pale inapobidi but sio kunipangia zamu ya kuosha vyombo,muraa nani kaoa mwenzake .
 
miaka saba.....kitanda kimoja hawajafunga ndoano.......kazi ipo....mzazi mwenzio keshapata wa kumuogesha, pole zake. Ila kusaidiana ni wajibu wa wanandoano wote.....

raha umpate anayependa kusaidia
 
Wewe ni ndugu wa kikeni ama wa kiumeni maana kuna jamaa anauliza hapa ya ndni ya chumba cha kulala ya mwenzio umeyapata wapi?
 
ndoa bana isipokuwa na watu wenye akili ni shida
 
Kusaidiana kupo pale inapobidi but sio kunipangia zamu ya kuosha vyombo,muraa nani kaoa mwenzake .

well said,,,, hakuna kunipangia ratiba au sijui leo zamu yako sijui kufanyaje...nooo,,ninajua wapi napaswa kusaidia na kwa wakati muafaka.
 
Mbona ao wote ni wazinzi hawajaoana mpaka wana mtoto apo mi sitoi ushauri
 
Hizi tabia zimeanza sasa au tokea zamani.

Kama ni tangu enzi washazoeana hao.
 
Sasa si amsadie kazi mkewe, wote wamerudi usiku kutoka kutafuta pesa kwanini yeye asimsaidie mkewe kazi?????
wanaume wengi wanaona aibu kuwasaidia wake zao kazi kisa tu ataonekana bushoke, lakini jamani mwanamke nae ni binadamu anachoka kama mwanaume, sasa sio kazi zote afanye tu mama wa watu. kibaya zaidi wanaume wengine hata kusaidia kumbembeleza mtoto hawawezi, mama anahangaika na kazi, huku mtoto analia, yeye baba anabadili tu station kwenye runinga, si vizuriiiiiii.

mkuu soma kwa umakn post, hawarud wote usku, mke n mwl.sasa usku anafundsha na yeye kutoka shule mpaka kwake n karibu hapand gari wala pkpk saa nane anakuwa yupo home, mumewe ndo anarud usku.
 
Mwanamke ni mchafu na mvivu;
Itakuwa vema akiletewa huyo hauz gel ili amsaidie hata kazi za chumbani.
 
Back
Top Bottom