GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,706
- 128,214
Nimekuwa nikibishana sana na wadau kuwa hakuna dawa ya mapenzi na ni uwongo mtupu huku nikishikilia imani yangu kuwa binadamu hatutakiwi kuwa washirikina na tunapashwa kumtumainia mwenyezi mungu tu.
lakini cha kunistaajabisha nimejikuta nikiona wenzangu wakienda kwa waganga mbalimbali kupewa dawa za kuwapata akina dada mbalimbali maarufu na matajiri na hata hizo hirizi zao wananionyesha na wengi wao sasa maisha yao ni mazuri.
Kwani wameikamata kindumba mijidada ya hadhi na mijimama kiasi kwamba hata mimi sasa nashawishika kujiingiza katiki ulingo huo wa kutumia ndumbazi kupata akina dada na kuachana na imani yangu ya kidini kwani nina miaka 25 sasa ya kuamini mola pekee na sina demu mkali na wala hawanitamani hivyo najikuta naishia tu kupiga nyeto.
Naombeni kujua je ni kweli kuna dawa katiki mapenzi na je hao waganga wazuri wako wapi? kwani nina listi ya mademu na majimama nataka nikaitengeneze kindumba nami nijibwedee tu kiulaini huku nikilelewa na kumlia vyake ila nasikia kuwa hizo dawa unatakiwa kuzirinyunyuzia kila mara na ukisahau tu mapenzi yanakuwa shubiri.
Karibuni.