Sina hamu tena

Sina hamu tena

mdesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
1,375
Reaction score
2,267
Ndugu zangu nafurahi kuona tupo pamoja.

Tangu Juma tano nikiwa na jamaa zangu watu wanazunguzia maambukizi ya HIV nikiingia jamii forums nikakutana na masimulizi ya namna hiyo hiyo hadi hii leo kuna uzi wa namna hiyo hapa,haijatosha nikaangalia Television nikaona tamthilia ya hivyo hivyo.

Imenifanya kutafakari kila wakati hata nikikutana na mwanamke njiani wazo linarudi kwenye HIV naona kila mtu simuamini tena. Hii hali imenifanya kukosa hata hamu ya tendo hata ndoa dushe haisimami, sijui nitarudi lini kwenye normal, wenzangu haiwapati hiyo hasa unapopata mara kwa mara habari za HIV au ni woga wangu tu.
 
Baki hivyo hivyo drum ni noma kama maisha yako ni duni umate umate unakupiga chenga halafu ukapata drum ni shida.
 
It sucks to be you.

Hopefully you won't sink into a miasma of depression and despair as a result.
 
Ukimwi ni shida usikie tu kwa watu kama story ila bora ubaki na woga huo huo.
 
Ni namna moja wapo muumba wetu anajaribu kutuepusha na ma balaa, sasa puuza uungue
 
Malizia ziara yako kwa kutembelea vituo na hospital zinazotoa huduma mbalimbali za ukimwi ndio utapata picha kamili hasa baada ya hapo ukiweza kuwa mtawa! Japo malaria na Kansa vinaua zaidi kuliko huo ukimwi
 
awe mtawa tu.....

lakini kuna swala hilo la kansa......tunalisahau sana.....
 
awe mtawa tu.....

lakini kuna swala hilo la kansa......tunalisahau sana.....

Tatizo la kansa ni kubwa kuliko inavyofikiriwa na takwimu zake zinazidi kupaa kila kukicha
 
Malizia ziara yako kwa kutembelea vituo na hospital zinazotoa huduma mbalimbali za ukimwi ndio utapata picha kamili hasa baada ya hapo ukiweza kuwa mtawa! Japo malaria na Kansa vinaua zaidi kuliko huo ukimwi
ajali vile vile kwani hiyo ndio haiepukiki lakini vingine ulivyotaka vinaepukika
 
Back
Top Bottom