Nimealikwa na mchepuko kwenye harusi yake

Nimealikwa na mchepuko kwenye harusi yake

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
Mchepuko kanialika kuhudhuria harusi yake anaolewa leo hii kanisisitizia nisikose kwenda, juzi ilikuwa ni sendoff yake
katika hali isiyokuwa ya kawaida.

Jana alinipigia simu tuonane mahali fulani nikaenda nikijua maongezi ya kawaida tu kumbe alikuwa anataka kale kamchezo katamu ili kuniaga maana atahamia mkoa mwingine anakofanyia kazi mumewe, nikamgegeda akafurahi sana.
 
Daa nikutanaga na mastori kama haya yanapelekea mpaka naogopa ndoa yangu yaani.
 
Angalia isije kua ni njama ya mumewe anataka akujue mwizi wake wa muda mrefu Ili aache amekuumua
 
Ongera sana mkuu lkn kumbuka mla nae uliwa kuwa makini sana na wew watakugongea xna mkeo
 
kyalankota nenda tu lakini ukae ukitambua kuwa mla vya wenzie na vyake huliwa.
 
Yaani mwanamke ni kiumbe dhaifu sana mpaka sendof bado anagegedwa na mchepuko
 
Wewe uliyemgegeda mke mtarajiwa wa jamaa naomba mungu na wako agegedwe maana hujamtendea haki yule mtarajiwa wa mchepuko wako sana
 
Back
Top Bottom