Kuwa na mtoto kuna raha yake

Kuwa na mtoto kuna raha yake

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,864
Zamani kabla sijawa na familia mamangu ndo alikuwa furaha yangu yaani ilikuwa nikimpigia simu najisikia furaha sana baada ya kuwa na familia yangu nafarijika sana nikiongea na mtoto wangu wa kiume,nikicheza na mtoto wangu na hata nikiwa mbali nafarijika sana nikiongea na mtoto nawashangaa wale wasiotaka kuzaa mtoto ana raha yake.
 
Mkuu yaan acha tu.
Kuna mda najiuliza inakkuwaje mwanaume anamkataa mtoto au inakuwaje mwanamke anamtupa mtoto jalalan! Nashangaa sana

hakuna raha kama kuwa na mtoto, kuna wakat nakuwa nmejivuruga sana lakn kila nikimwona mwanangu hasira zote znaisha.
 
thanx to the ONE ABOVE,kanipa watoto naojivunia mpaka muda huu
 
je mtoto n mtoto hata kama umezaa kabla hujaoa/kuolewa&mipango na yule uliyezaa nae hakuna au mtoto wa ndoa ndo faraja?
 
Molembe yaani mtu asiependa watoto au kutotaka kuzaa kwa namna moja au nyengine ana roho mbaya

Hapana. Kutotaka kuzaa haimaanishi mtu ana roho mbaya.

Ni heri mtu anayejitambua asitake kuzaa kuliko azae halafu atupe mtoto au ashindwe kumlea ipasavyo huyo mtoto.

Binafsi nawaheshimu wanaoamua kutozaa kama kweli hayo ndo matakwa yao.
 
Kuna raha take mambo yakiwa --------- but yakiwa downfall Ni ngumu
 
kumbe bado tuu ayaaaa kazana bana

kwakweli inabidi, maana hata nami natamani sana, i see how happy my frnd is after having her's na maelezo ya wadau humu ndio yananitamanisha zaidi
 
......Raha ya dunia ni mtoto.
Nakuomba Mwenyezi Mungu uwajalie wale wenye uhitaji wa mtoto, wapatie haja ya moyo yao.
 
Back
Top Bottom