Tamalisa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 2,542
- 907
NB: Elimu haikua kigezo kwangu na wala sikuwahi kufikilia kuja kumnyanyasa nitakae mpenda sababu ya elimu.
Kipindi hiki chote cha kuomba na mengine yule kaka sikua na mawasiliano tena kwa muda mrefu japo namba yake nilikua nayo.
Na yeye aliamua kuaachana na mimi japo ilimuuma sana, kipindi hiki aliamua tu kuoa mtu mwingine kumbuka mimi nipo mkoani sijui kinachoendelea huku Dar es salaam. Basi akaamua tu kurudi kwa Yule binti wa kwanza niliyekua
Naambiwa ni mchumba wake kwa hisia za watu tu, binti kaelezwa akafurahi sana ukizingatia alikua anampenda sana, fasta wakaamua kuanza process, ikafikia hatua fulani ikaanza kutokea migorogoro upande wa girl, mama analeta sababu zake Fulani sipendi kuzitaja, basi basi subir jibu subiri na wewe hawaeleweki,
Jamaa akasema basi nimenawa mikono,akaacha kabisa.Akaja kumchumbia binti mwingine imeenda wakakubalina process zianze mwaka fulani hapo nyuma kidogo. Wakati huo mimi naingia mwaka wa mwisho, nikaenda field mahala Fulani.
Ilipoishia endelea..............
Yule binti wa pili akaanza kuzingua baada ya muda mfupi na dalili zote za kucheat zikaonekana, jamaa akamuuliza vipi, binti oh bize sijui nini ila dalili chafu zilishaonekana huyo binti alikua mkoani na jamaa Dar es salaam. Yule kaka (matarajiwa wangu sasa) akaamua kuachana nae, akamueleza kabisa lakini girl hakuonesha hata kuhuzunika, jamaa akafunga ukurasa.
Kumbuka katika matukio yote haya jamaa anasema japo nilikua nataka kuoa lakini nilipokua nakukumbuka wewe, nilisikia kuhuzunika sana na kukosa amani. Basi akaachana na Yule binti na akawa hana uchumba na mtu yoyote tena japokua Yule binti wa kwanza alionesha wazi anamuhitaji amrudie tena.
Nikiwa field.
Field nimefanya kwa miezi 3, bahati nzuri nilpomaliza tu kuna neema niliipata pale kazini, basi kwa furaha nikaweka vocha nikaanza kuwatumia sms watu muhimu kwangu kuwaeleza lile tukio. Nikaandika sms na kuanza kusend (option inaitwa send to many
Gafla nikaifikia namba ya huyu kaka kimoyo nikasema eh huyu yupo, nikataka nimruke nisimtumie, moyo ukasita nikasema any way si sms tu nikamtumia. Ile namaliza tu kusend alikua mtu wa kwanza kunipigia.
Tukaongea tu kwa furaha, akaniuliza uko wapi nikamwambia field mkoa fulani, mwisho akasema naomba kesho nije huko ulipo toungee, nikasema acha masihala wewe nikiamini awezi kuja yani gafla tu aje.
Akanisisitiza kwa muda mrefu sana nikagoma, badae nikakubali poa, usiku nikadili mawazo sikati kumpigia nimjulishe hapokei, nikatuma sms nikasema usije sitaki, akaiona ila akajifanya hajaion, asubuhi nimelala zangu
Simu inaita kuangalia yeye, vipi nipo ubungo nmeshakata tiketi nakuja, nikamwambia si nilikutumia sms usije, akasema sijaiona na tayali nmeshakata tiketi nakuja nikagoma, akasema umenisiktisha nimeacha kwenda kazini na nauli nimeshaitumia halafu hutaki kuja, kweli niliingiwa na huruma nikaamua kujiandaa na kwenda kukutana nae. Kapanda basi kaja mkoa.Tukameet.
Akaanza kunitongoza tena, kwakweli sikuona umuhimu wake kwangu, moyo bado ulikua mgumu japo nilikua nahisi kumpenda tangu awali. Jamani fulani nakuhitaji uje mke wangu nakupenda la la la la hiyo ilikuwa, December kama 2 au 3 hvi, kesho yake akaondoka, ikawa ameanza tena upya kunisumbua katika simu, anapiga kila dk, umeamkaje, umeshindaje, unaendeleaje nk. nikiwa namng'ong'a tu katika simu.
Gafla ilipofika tarehe za mwisho nilisikia kumpenda sana huyu kaka, nilipoikumbuka sura yake, vichekesho na mambo aliyowahi kunifanyia huko nyuma mf. Kuna kipindi aliwahi kuja katika mkoa ninaosoma kikazi na akanitafuta siku aliyokua anaondoka akaniachia hela kidogo ya matumizi, wakati mwingine alinitumia hela huko nyuma nilpomuomba nk.
Nikamwambia Fulani I love you so much let me be your wife, japo ninajua hili suala litakuja kuleta migorogoro home kwa jinsi ninavyowajua wazazi wengi, na zaidi wew ni mtu wa kawaida kimaisha.
Tukashikamana na kuanza uchumba wa siri. Nikarudi DAR tukafurahi na kupanga mipango mingi. Badae nikaenda chuo kumalizia masomo, nikamaliza, nikarudi Dar mwaka 2013 mwezi wa 6.
Ndo nikalianzisha mwaka December 2013, wacha liwake mchumba mwenyewe nani Yule hana elimu gani, yani mwanangu, inamaana wewe pekee ndo utakayewasomesha watoto, kuilea nyumba, basi angalau angeongeza
elimu kidogo, Yule anayechumbia wanawake hovyo wanaongelea.
Yule binti aliyemchumbia kwao wakakataa kumbuka hii haikua siri ilijulikana na sababu ya kumuacha pia ilisemwa kwamba ni kukataa kwa wazee), Kwanza hujapata hata kazi, hujajijenga, subiri uwe na maisha yako utachagua mwanaume unayemtaka,
Hizo ni sababu chache zinazosemwa hovyohovyo bila mpangilio), Mi nikasema mama, baba, sio kwamba kulileta hili kwenu ili niolewe kesho au mwezi ujao, ila sisi tumeona si vibaya kuwaeleza wazazi wetu.
Mtubariki, kututia moyo na kutushauri na simkwamba tuna haraka, kama mnavyodai. Na sio kwamba mimi sipendi kupata hiyo ajira, tunatafuta na hata kama nikiipatia katika ndoa sio mbaya. Basi hata nikiongea nini sisikilizwi ni kukalipiwa maneno mengi hivi na vile.