Nyumba za kupanga kuna mambo. Jana usiku jamaa karudi home na msichana wa kazi ambaye katumiwa na ndugu zake kijijini.
Asubuhi hii full kindumbwe ndumbwe mke kamaind full ugomvi eti huyo ni mke mwenza sio beki 3 kisa kaona house girl kajaaliwa ushape. Je mfanyakazi wa ndani anatakiwa aweje?.
Kina mama naomba ushauri kwani na mimi ndio naelekea kuafuta house girl 3.