Sigara na kudumisha mahusiano

Sigara na kudumisha mahusiano

mtukwetu

New Member
Joined
Feb 8, 2015
Posts
2
Reaction score
1
Wanaume hatufanani kuanzia sura mwendo na hata tabia lakini sio hayo tu, kama binadamu wengine wote tukiugua
unaweza kuwa na Malaria 10 ukawa husukii hata dalili moja na mimi nikawa na 2 tu nikawa hoi.

Hoja yangu ya msingi ni Sigara na uwezo we wanaume kwenye tendo la ndoa.Sigara inapunguza kwa kiasi kikubwa hamu ya kufanya mapenzi,naomba nieleweke.

Kupungua kwa hali ya kufanya tendo la ndoa kitaalamu nadhani wanaita LIBIDO huweza kusababishwa na vitu vingi mno.

Lakini jitizame huna mchepuko,mkeo au mpenzi wako yuko poa na inawezekana mkawa na migogoro ya wewe kutotamani kusex na wewe unakula unashiba,huumwi hujachoka mnalala kitanda kimoja na mpenzi wako halafu huna hamu.

Jitizame ,unavuta sigara,tafadhali usijipime na mtu mwingine yeyote maana kama nilivyokwisha sema mwanzo,hatufanani.

Jiulize je unapenda mahusiano yako yadumu,acha sigara. Amini nakwambia sigara zinaathiri misuli milaini inayosabaisha mzee kusimama.Hivyo kusababisha kupungua kwa hamu ya kufanya tendo la ndoa.

Wewe ni Kijana una umri wa miaka 35 huna hamu ukifikisha 45.Hutoweza kabisa.Badilika udumishe uhusiano na ukwelini kwamba u6kiacha, mabadiliko ni ndani ya wiki tu.
 
Ni kweli dada mtukwetu, ndio maana utakuta hata wale wanaotumia madawa ya kulevya wengi huwa haaatamani tendo la ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Kama ulivyosema binadamu tunatofautiana. Mimi bila kuvuta sigaa siwezi ku do.
 
itabidi nichunguze manake tangu nianze kuvuta sijaona mabadiliko yoyote
 
mvuta sigara anaweza akipiga bwii ila baada ya goli moja linalofuata ni dakika 57 au 70 ni balaa kasha anasmoke analala
 
Uwongo mtuu na kula ganjaa mix nazibua na fegii kazaa.nakua so hi try to kiss a sky,na mama jojoo nikirudi nyumbani amshapopo kama kawaida mpaka ananiambia baba jojo ivi unatumia vyumbi la kongoo
 
Wanaume hatufanani kuanzia sura mwendo na hata tabia lakini sio hayo tu, kama binadamu wengine wote tukiugua
unaweza kuwa na Malaria 10 ukawa husukii hata dalili moja na mimi nikawa na 2 tu nikawa hoi.

Hoja yangu ya msingi ni Sigara na uwezo we wanaume kwenye tendo la ndoa.Sigara inapunguza kwa kiasi kikubwa hamu ya kufanya mapenzi,naomba nieleweke.

Kupungua kwa hali ya kufanya tendo la ndoa kitaalamu nadhani wanaita LIBIDO huweza kusababishwa na vitu vingi mno.

Lakini jitizame huna mchepuko,mkeo au mpenzi wako yuko poa na inawezekana mkawa na migogoro ya wewe kutotamani kusex na wewe unakula unashiba,huumwi hujachoka mnalala kitanda kimoja na mpenzi wako halafu huna hamu.

Jitizame ,unavuta sigara,tafadhali usijipime na mtu mwingine yeyote maana kama nilivyokwisha sema mwanzo,hatufanani.

Jiulize je unapenda mahusiano yako yadumu,acha sigara. Amini nakwambia sigara zinaathiri misuli milaini inayosabaisha mzee kusimama.Hivyo kusababisha kupungua kwa hamu ya kufanya tendo la ndoa.

Wewe ni Kijana una umri wa miaka 35 huna hamu ukifikisha 45.Hutoweza kabisa.Badilika udumishe uhusiano na ukwelini kwamba u6kiacha, mabadiliko ni ndani ya wiki tu.

upande wa pili wa shilingi, kwa kutotamani mgegedo basi na HIV inakuwa mbali kwa saana !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Back
Top Bottom