Anipa onyo baada ya kuhisi natembea na mkewe

Anipa onyo baada ya kuhisi natembea na mkewe

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
170
Nilikua na mpenzi kipindi nipo form V na baada ya kuhitimu form VI aliniambia yeye anataka aolewe nikamwambia nijambo jema ingawa namjua mtu anaetaka kuoana nae kwani nilisha ambiwa.

Ilipiata miaka mitatu nilikutana na huyu mwanamke na akanisimulia maisha yake ya ndoa yaani hakua akiyafurahia na aliendelea kuja nyumbani pia kwani tulikutana hapo, yaani nje ya nyumbani kwangu siku ya kwanza alikuja pale mara kadhaa.

Siku moja nlkua napiga nae story ndipo kunajamaa angu alpita nae tulipotezana kwa mda kidogo kwa hiyo aliniomba no ya simu.Nilipo mtajia na yule mwanamke akaijua hapo.Akaanza kunitumia txt na m nlzijibu baada ya dp chati nljikuta nimerud kukumbushia kwan mtaraka huwa hatongozwi.

Lakini baada ya mda nilihama mkoa.Tukawa tunachati sana kumbe mumewe alizipata taarifa.
Leo natoka nyumbani kuelekea kituo cha daladala niende mjini gafla nimesikia brek za gari zikifungwa pembeni yangu kugeuka.

Ndipo kinaona toyota haria na kunajamaa akaniomba nimwelekeze sehemu fulani kwa kua ndo nilikokua naelekea nikamwambia twende tuu pamoja kwani na mimi naelekea maeneo ya huko .Njia akajitambolisha na kuniambia kua amenitafuta anifikishia ujumbe niache mahusiano ya kimapenzi na yule mwanamke na kanifikisha mpaka mjini na kuniaga.

My take:Kiukweli jamaa ni mstaarabu ila mi nilishaacha mahusiano nae na kwa jinsi jama alivyonielekeza inaonesha huwa yule mwanamke anasafiri na inaonekana anakuja kwangu na ni kitu ambacho sio sahihi.

Ushauri hapa kwani hili ni tatizo.
 
Yaan mi nliasha achana nae sasa bado inaonekana kama nipo nae
 
Kaa mbali naye, kata na mawasiliano kabisa mke wa mtu sio mzuri.
 
Yatakukuta makubwa mkuu, wacha kabisa mpaka hapo umefanya kosa kubwa la kutembea na mke wa m2.
 
The Boss
Dah ,Hiyo ni warning kubwa sana na ni ya mwisho....jamaa kashajua hadi kituo anachopandia daladala....atakuwa anajua anakofanya kazi na hata upande gani anapenda kulala...pengine hata alienda kapanga kitu fulani ila alivyomuona akaamua ampe warning akijua ataiheshimu.

Akate tu mahusiano na huyo dada kimoja!
 
Last edited by a moderator:
The Boss

Ha ha ha haaaaa....Bwana amuwezeshe aelewe kwamba amemuokoa na asirudie tena.
 
Last edited by a moderator:
Anakuhisi unatembea mke wake? Siku mke wake akishoboka ktk anga zako, ww mgegede tu umalize biashara
 
Kama kweli umeshaachana naye lakini yeye anaendelea kuaga wa mumewe na kuhisiwa anakuja kwako; ongea na mumewe mweleze ukweli ili aendelee kumchunguza mkewe ili kuujua huo mchepuko mpya wa mkewe. Jiondoe hatarini huyo bwana ni mafia wallah atakuua.
 
Option pekee uliyonayo ni kumnawa huyo mwanamke tena kwa ugomvi ili asijirudishe kabisa, otherwise you are in for the show. Utachezwa ngoma.
 
...jiandae kuliwa uwemba...unachezea mali za wanaume wenzako wakati wenzio wamejipinda kutoa mahari...nyambaffff
 
Mimi kutuma sms kwa mtu alieolewa au aliechumbiwa, hata kuongea nae tu naogopa.
 
Back
Top Bottom