Zeddicus
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 627
- 540
Habari zenu wadau wa jukwaa hili la MMU, bila shaka mu buheri wa afya na mnaendelea na shughuli zenu za kila siku za kujenga familia na taifa kwa ujumla.
Lengo la huu uzi wangu ni kutaka kupata michango kutoka kwenu kuhusiana na njia mujarabu ya kukatisha mahusiano.
Najua kitu kikubwa kinachoumiza wapenzi wawili wanapoachana ni yale mazuri ya kukumbukwa wakati wakiwa pamoja. Hii haswa ni kwa ule upande mmoja ulioachwa with no guilty.
Au ulioamua kuacha baada ya mahusiano kubadilika ghafla.Sasa je njia ipi ni muafaka, ambayo haitaleta maumivu kwa pande zote mbili au hata upande mmoja. Je ni vema kukaa na kuelezana kwamba tumeshindwana so we have to break up au ni kuacha kimya kimya tu no texts no calls wala appointment.
Ipi njia muafaka wadau