The one who i was ready to catch a grenade for him,he dumped me officially

The one who i was ready to catch a grenade for him,he dumped me officially

luckgizzle

Member
Joined
Feb 26, 2015
Posts
7
Reaction score
4
He want us to be just friands, Iam chained by my own sorrow, I don't have the courage to carry all this pain in my heart. Please save my soul tel me what to do.
 
Huo Sio Mwisho Wa Maisha,Think About Your Family,Career and Future at large
..Umia Kwa Kipindi Kifupi Futa Machozi Tafuta Maisha...
 
That's Too Harsh siafu dume

Akanushe kama sio sista duu kwanza. . . . . .wanakera sana hao watu yaani bora ubebe mayai kweye baiskeli kuliko hao watu . . . . .yaani hata asipoona wanja tu anaweza kukupigia simu. . . . . .Baby jamani sioni wanja wangu. . . !!!!!

Kama mpo badilikeni mpate wanaume wanaojitambua otherwise mwendo mdundo tu. . . . . .preamble page is enough for them!!!
 
Last edited by a moderator:
tian

Belive me tian hiyo itamsadia sana..kuliko kumdanganya kwa kujidai tunamuonea huruma..soma mistari yake vzr japo mifupi na heading utaona
 
Last edited by a moderator:
Tamthilia zinaharibu sana hawa mademu

Wanajenga maisha vichwani ambayo almost hayapo . .wakikutana na wajuaji wenzao tu wiki mbili show offs kibao possibly kwa gharama za demu utasikia ghafla imechanika. . . . . . .vilio sasa watu wengine wasilale wala kuoga wakatakata
 
Sometimes you have to lie to your heart it will eventually heal.....time covers all wounds. A BROKEN HEART IS A LEASON LEARNED. Every relationship has a beggining and endings some good some bad.
You can heal yourself just change your mind mentality on love issues.
 
Hii ilitakiwa iwekwe fb kule atakuwa amekosea kupost...pumbavu sana
 
Back
Top Bottom