Wanawake wanao "act kama masela" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wanao "act kama masela"

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Safety last, Aug 6, 2011.

1. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#1
Aug 6, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160
Kuna hii tabia wanawake wanaact kama masela, namna kuongea,kutembea body structure ya kiume kula mirungi ,fegi,hata pamba zao, kwani mwanamke kivaa uhusika wake aringie/atumie sauti yake nzuri, mapoozi, aibu ya mbali si unankazia macho ,tikisa/lainisha mwili wako usiwe mjeshi mjeshi,haki sawa si mwanamke kuwa kama mwanaume bali kutumia jinsia yake kujiwakilisha kama ilivyo!

2. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#2
Aug 6, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,822
Likes Received: 22,467
Trophy Points: 280
we ukisema wa nini
wenzio wanasema tutampata lini...

3. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#3
Aug 6, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Kwani akiwa hivyo kinapungua kitu gani?!

4. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#4
Aug 6, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160

kwa nini wasiwe "real"hizo mbwembwe za kiume zibaki kiumeni

5. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#5
Aug 6, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Hiyo “real“ yako sio lazima iwe ya kila mtu!!

6. Muuza Sura

Muuza Sura JF-Expert Member

#6
Aug 6, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 1,990
Likes Received: 218
Trophy Points: 160
mvuto wa kike!

7. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#7
Aug 6, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Hiyo “real“ yako sio lazima iwe ya kila mtu!!

8. chapaa

chapaa JF-Expert Member

#8
Aug 6, 2011
Joined: Feb 19, 2008
Messages: 2,355
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Yawezekana inampunguzia matamanio

9. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#9
Aug 6, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Huo mvuto unapotelea wapi?!Na kama kweli ungekua unapotea mngejuaje sio nia yao kuuficha?!Mvuto wa mtu hata ufichwe na makaa kama upo utakuwepo tu.Acheni kupangia watu wengine jinsi ya kuishi maisha yao!!

10. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#10
Aug 6, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160

kutokujiamini ni tatizo kwa wanawake wengi

11. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#11
Aug 6, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Kwahiyo wanaovaa hivyo hawajiamini?!Wenye mawazo kama yako ndo hawajiamini maana kila unachofanya unawaza fulani atanionaje!!!

12. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#12
Aug 6, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160

unajiaminije wakati umecopy copy ,na uhalisia wako una viraka

13. u

uporoto01 JF-Expert Member

#13
Aug 7, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 4,741
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Hawa wa namna hii ogopa sana tulienda pale San Ciiro club miezi kadhaa ilopita tukakuta wawili wa hivyo walikuwa wamekaa upande wa pili wa meza yetu,akaingia totoz zuri kweli la 18-20yrs basi mmoja wao akasema leo yule lazima niondoke nae tukapigwa na butwaa.Baada ya muda akamwita waiter na kumwamuru ampe bia mbili yule binti,zikapelekwa na akapokea.
Baadae kwenda smoking room nakuta yule demu msela akimtongoza yule binti kama sisi tunavyotongoza na kweli baada ya muda akaondoka nae.

14. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#14
Aug 7, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Sasa anaecopy kati ya anaevaa na kujiweka vile anavyotaka yeye bila kujali wengine na anaefuata mkumbo wa “yaliyozoeleka“ ni yupi?!

15. Muuza Sura

Muuza Sura JF-Expert Member

#15
Aug 7, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 1,990
Likes Received: 218
Trophy Points: 160
demu mkali hawezi kuact usela!mademu wanaoact usela na wale watengwa!

16. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#16
Aug 7, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Hamna lolote...

17. Muuza Sura

Muuza Sura JF-Expert Member

#17
Aug 7, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 1,990
Likes Received: 218
Trophy Points: 160
yamekuwa hayo lizzy?kwani nawe waact kisela?

18. BlackBerry

BlackBerry JF-Expert Member

#18
Aug 7, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 1,844
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
Sielewi unamaanisha nini, waache au wawe kama wanawake wenye hiba na huba za kike?kuna wanaume wanapenda sana matom boy wa hivo

19. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#19
Aug 7, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Hahaha..wala hayajawa hayo!!Alafu mimi siact vyovyote niko kama mimi tu...

20. u

uporoto01 JF-Expert Member

#20
Aug 7, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 4,741
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Na wanaume wanaovaa kike nao tuwaweke kundi gani ?

Loading...