You can't believe this...OMG | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

You can't believe this...OMG

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by cheusimangala, Jun 2, 2011.

1. cheusimangala

cheusimangala JF-Expert Member

#1
Jun 2, 2011
Joined: Feb 27, 2010
Messages: 2,590
Likes Received: 11
Trophy Points: 0
naomba msaada kwa wadau na kwako zeze pia, mimi ni mwanamke ,niliye katika ndoa kwa miaka 6 sasa, na nimebahatika kupata watoto 2 tayari. ila nina tatizo kubwa saana kwenye ndoa yangu, kutokana na kwamba mume wangu amekuwa limbukeni saana wa ,wanawake wa nje wenye makalio makubwa kiasi kwamba mara kwa mara nimekuwa nikimfumania na wanawake wa aina hiyo, lakini aliponichumbia na kunioa alijua kabisaa kuwa mimi nina umbo la kawaida lakini ghafla alianza kunishawishi nitafute dawa za kuongeza makalio , kiukweli swala hili limekuwa gumu kwangu saana kutokana na maadili na malezi niliyokulia, ajabu juzi nimemfuma tena na mwanamke mwenye makalio na jibu alilonipa mi mwenyewe nilichoka kwani aliniambia chukua hizi laki 2, nifanye juu chini nipate dawa za kuongeza makalio...na kama makalio yangu hayataongezeka kwa miezi miwili basi nijiandae kumpokea mke mwenzangu. shamim nampenda saana mume wangu siko tayari kabisa kuachwa mungu atanisamehe naomba jamani mnielekeze hizo dawa nitazipataje na zinaitwaje wala msitaje majina yenu ,nielekezeni tu ili niinusuru ndoa yangu maana mo mpaka sasa sijapata hata kazi huyu mume wangu ndio kila kitu kwangu
nisaidieni jamani

NB :NIMEIKUTA HII HABARI KWENYE BLOG YA 8020 NIKAONA NISHARE NA NYIE.
SIJAPATA KUONA MWANAMKE MGONJWA KAMA HUYU,AMENISIKITISHA SANA,YAANI SIAMIN KAMA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ANAWEZA KURUHUSU VIDOLE VYAKE KUANDIKA KITU KAMA HICHI

2. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#2
Jun 2, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,508
Likes Received: 2,249
Trophy Points: 280
psychic+desperation =wehu! akishapata makalio feki atampa sharti lingine (una kifua kikubwa,kakatwe manyonyo!). muambie ampe na mumewe sharti analotaka yy,aongeze kiungo chaguliwa au ndani ya deadline waangalie kama wameshindwa wote wapeane adhabu (kila mtu akalete choice yake!!)

3. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#3
Jun 2, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Aiseeee....kama hatanii basi kazi anayo.
Ndo matatizo ya kuolewa ili upate kula...mume mwenyewe anajua mke hana ujanja...mke nae ndo huyo anakubali kuangukia pua.Achukue hizo laki mbili alafu arudi kumwambia kaambiwa kuna dawa inayofanya kazi instantly ila ni ghali kidogo kwahiyo aongeze kilo kadhaa...then achukue hizo pesa akaanzishe hata kabiashara kake ka mitumba aanza maisha yake mwenyewe.

4. Rejao

Rejao JF-Expert Member

#4
Jun 2, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 9,239
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Huyo mwanamume ni kicheche tu!! Hana cha kupenda ****** makubwa wala nini!
Cha muhimu ni kuachana naye kwani ukiendelea kuishi naye ndio unakaribisha maradhi!

5. pangalashaba

pangalashaba JF-Expert Member

#5
Jun 2, 2011
Joined: Jan 10, 2011
Messages: 1,084
Likes Received: 881
Trophy Points: 280
watu wengine bwana!!!!!! kwani hata hao wenye makalio makubwa yy huwa anayatumia vp? maana me ninachojua wakishakuwa chumbani hayo makalio anayakalia na yanakuwa hayana kazi tena. sasa kama huwa huyo man anayatumia basi mamaa ujue ukiyaongeza ya kwako tigo itaanza kuhusika.

6. cheusimangala

cheusimangala JF-Expert Member

#6
Jun 2, 2011
Joined: Feb 27, 2010
Messages: 2,590
Likes Received: 11
Trophy Points: 0
mi naona kama huyu anafukuzwa sema tu kwa vile ni tegemezi ndo kaishia kuwa kinganganizi.
huyo mume anaonekana ni kibiriti kisichotingishika mbele ya huyo dada,hivyo dada hawezi kumtisha kwa sharti wala nini,ila kazi ipo.

7. Rutashubanyuma

Rutashubanyuma JF-Expert Member

#7
Jun 2, 2011
Joined: Sep 24, 2010
Messages: 158,345
Likes Received: 418,711
Trophy Points: 280
Code:
naomba jamani mnielekeze hizo dawa nitazipataje na zinaitwaje wala msitaje majina yenu ,nielekezeni tu ili niinusuru ndoa yangu maana mo mpaka sasa sijapata hata kazi huyu mume wangu ndio kila kitu kwangu
nisaidieni jamani
kwani ka kwambia ya kuwa utaachika au ni wasiwasi wako? Vyema akuache utapata bora zaidi ya huyo humu humu jamvini......mpige kibuti ashike adabu yake.............kama anayo........................kama hana ashike masikio yake.............kama anayo na kama hana........

• :pound:

8. M

Mtu Mmoja JF-Expert Member

#8
Jun 2, 2011
Joined: Mar 18, 2010
Messages: 596
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
huu ndio ushauri, ila mtu kama mimi nikigundua umenidanganya nakuchinja!

9. M

Mtu Mmoja JF-Expert Member

#9
Jun 2, 2011
Joined: Mar 18, 2010
Messages: 596
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
hizo ni riwaya tu wewe cheusi, hakuna ukweli hapo, ila na wewe upunguze uzururaji, huko kwenye blog sijui ya nanihii ulifuata nini? ona sasa unavyofungwa kamba na watoto wa mjini!!

10. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#10
Jun 2, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
We nawe una jeuri ya kumchinja nani kwa laki mbili tatu?!

11. cheusimangala

cheusimangala JF-Expert Member

#11
Jun 2, 2011
Joined: Feb 27, 2010
Messages: 2,590
Likes Received: 11
Trophy Points: 0
ila mim nimetafakari nikaona kuwa inawezekana huyu dada katunga hii story ili aweze tu kuelekezwa jinsi ya kupata hiyo dawa,
usikute hata hajaolewa ni lishangingi tu linataka kuongeza makalio lipande bei,
hivi magreat thinker mnaamini kuwa kuna mwanaume anayeweza kumpa mkewe pesa akaongeze makalio?
ila wehu wapo lkn hata kama sina ajira ndo kweli nikubali kufanya huu upuuzi,je nikifa kwa hayo madawa au nikiparalize huyo mwanaume atanijali,this is real sad.

12. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#12
Jun 2, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,508
Likes Received: 2,249
Trophy Points: 280
wifi taratiibu somo linaingia. tena aseme dr kasema anataka ka-rav 4 (apate kianzio,lol)

13. pauline

pauline JF-Expert Member

#13
Jun 2, 2011
Joined: Dec 26, 2010
Messages: 651
Likes Received: 4
Trophy Points: 0
mnh hao wenye blogs nahisi wanatungaga tu mambo mengine kuendelea kupata hits....mie sidhani kama hii stori ina ukweli na kama ni kweli basi dunia imekwisha,huyo mwanaume atakuwa muhuni tu mbona asitulie na mwanamke mmoja mweye makalio makubwa anawabadilisha kama nguo mnh

14. S

Smarty JF-Expert Member

#14
Jun 2, 2011
Joined: Feb 25, 2011
Messages: 729
Likes Received: 149
Trophy Points: 60
huyo mwanaume anaendekeza ulofa! what is so special with makalio?? mi naona amakalio huwa ni fahari ya macho tuu. na huyo mwanamke naye ni lofa hajitambui kabisa, kwa sababau for the time being men are not scarce resource. akikuzingua unatafuta mwingine!

15. cheusimangala

cheusimangala JF-Expert Member

#15
Jun 2, 2011
Joined: Feb 27, 2010
Messages: 2,590
Likes Received: 11
Trophy Points: 0
hapo penye red,sio mim niliyeambiwa hayo,mm nimeicopy na kuipaste tu humu sbb imenishangaza.

16. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#16
Jun 2, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,508
Likes Received: 2,249
Trophy Points: 280
..ashike nanihii yake,kama hana sasa sijui itakuwaje?

17. cheusimangala

cheusimangala JF-Expert Member

#17
Jun 2, 2011
Joined: Feb 27, 2010
Messages: 2,590
Likes Received: 11
Trophy Points: 0
hata mim natamani kuamin hivyo,ila wapo wadada kweli kabisa wanaapa kuwa wakipata hizo dawa wanatumia.

18. Gaga

Gaga JF-Expert Member

#18
Jun 2, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 4,565
Likes Received: 20
Trophy Points: 135
Loooo haiwezekane, ajiharibu mwili wake sababu ya kiumbe asiyetosheka, akiwa nayo makubwa atataka madogo sijui atayakata?

19. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#19
Jun 2, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,508
Likes Received: 2,249
Trophy Points: 280
ila sijui kwa nini wanawake hawapendi financial independence kwa kweli! imefika wakati mtoto wa kike akisema nataka kuleta mchumba,mamake amuulize una tembo card master card? manake inahuu vibaya sana!
afu miwanawake kama hii hata ukimpa mchongo wa kazi anabinjua pua 'mme wangu hapendi, ama siwezi'. damnit!

20. afrodenzi

afrodenzi Platinum Member

#20
Jun 2, 2011
Joined: Nov 1, 2010
Messages: 18,135
Likes Received: 2,398
Trophy Points: 280
Kama mwanaume ni muhuni
ni muhuni tu..leo atamwambia
ongeza **** kesho atakwambia
punguza **** khaaaaaa..
Embu acha kuishi ajili ya mumeo
ishi ajili yako na wanao.. na vipi
hizo dawa zikikudhuru???

kweli unahitaji msaada mami
yaelekea huyo mwanaume
kakufunga kwenye kidole kidogo
wafanya atakalo..pole sana....

saa nyingine mambo mazuri
yanamwisho ..Binafsi naona bora
akuache kuliko kuhatarisha maisha
yako.. huu ni mwili wako kama we
unataka kufanya ajili yako na furaha
yako binafsi labda lakini usifanye ajili ya mtu mwingine.. achana na huyo mbwa mwitu...

Loading...