Hiyo title na yaliyomo vimepishana kidogo nahisi kama havijakaa sawa sawa, (havilandani) sasa hapa nashindwa hata ni koment title au content yako?, any way umeongelea suala la usaliti na kuchaguliwa mke/mme. Usaliti ni ugonjwa ambao kwakweli dawa yake sidhani kama ipo, labda tu mtu mwenyewe ajikomiti kwa dhati kuacha usaliti,
hayo mambo ya sipendi au sifanyiwi hivi na vile hayo ni ya mtu binafsi maana zinaweza kuwepo sababu ambazo zinapelea usipendwe au kufanyia hivyo unavyotaka. Ni muhimu kujirekebisha tunapokosea ktk mahusiano yetu.
Suala la kuchaguliwa mwenza, lilishapitwa na wakati kabisaa, labda kama wewe unataka waambie wakutafutie.
Hilo suala la waafrika na mapenzi wapi na wapi - ndo hapa na hapa mapenzi ni haki yetu sote ulimwenguni, usaliti na kuumizana ni matokeo yao wapendanao wao wenyewe.
NB: post yako inachanganya karoti, hoho, maharage + ugali humo humo.