Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi nimeacha kabisa mchenzo wa kuangalia picha za bongo kwa sababu ya mavazi yanayozaliwa na mabinti pamoja na mapozi na mabusu motomoto. Sababu ya kufanya hivyo kila nikiangalia huwa naumia mno...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu wadau MMU, Watu tumekuwa na style mbalimbali za kuonesha wapenzi/wake/waume zetu kuwa tunawapenda,wengine wamefikia hatua hata ya kutembea huku wakiwa wameshikana mikono,ila kuna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Nimekumbwa na tatizo kubwa la hisia hasa nnapopewa tunda la mti wa kati sababu ya hii kitu ni ushiriki wangu kwenye mtandao pendwa ambako nikipewa tu nasisimka. Lakini nikirudi kwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wandugu,natumaini ni wazima,katika maisha yangu nilikuwa siamini kama wanawake huwa wanapenda kweli kutokana na historia yangu ya kutendwa. siku mmoja nikiwa nyumbani kuna jirani yetu...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
...........................................
2 Reactions
93 Replies
11K Views
Habari Wanajamii Forums. Natumaini mko poa sana.Leo nipo tena kama kawaida yangu kubadilishana mawazo na kupeana maarifa na udhoefu juu ya mahusiano ya kimapenzi. Katika maisha kila mtu...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Kuna wasichana wa kibongo wanaabisha mno, utakuta mwanaume anaongea Kingereza basi Msichana anampapatikia. Mi nikafikiri ni siku ile tu. Mimi nikaenda sehemu nikajifanya mimi mtanzania lakini...
0 Reactions
120 Replies
14K Views
Hapa chini ni baadhi tu ya udhaifu wa wanaume wa kibongowawapo kitandani. 1. Kudandia haraka haraka bila kumuandaa mwanamke 2. Hakuna lugha ya mwili kutwanga na kumaliza kisha kugeukia ututani...
15 Reactions
312 Replies
38K Views
Amani kwenu wadau, Unakutana na wanandoa ambao siku ya harusi yao walifanya shehere ya harusi ya gharama kubwa sana.Na mamilioni ya shilingi yalikatika kwa ajili ya gharama za kukodi...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Inasemakana mwanamke au dada akiitwa na mwanaume bila kujua anaitiwa nini, katika kuhisi nini anaitiwa, sababu tatu za kwanza moja itakuwa ni mapenzi. Yaani anaitwa ili atongozwe. Je ni Kweli?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimetembea maeneo mengi ya pwani na miji ipitayo reki ya kati hakika kuna kitu si cha kufurahia,inaonekana hawa waarabu,wachina na wahindi ni rahisi kupata mabinti zetu kuliko wanaume wa kiswahili...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Hoja yangu ni hii wanaJF, Hivi kuna mahusiano gani kati ya fedha na mapenzi ya kweli kwa karne hii ya 21 ya kizazi kipya? Unapata tafsiri ipi kwa mwanamke anaposema anapata/anataka mapenzi ya...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Tubadilisha busara katika hili, Umekaa na mke wako kwa miaka zaidi ya ishirini na mmepata watoto kadhaa.Baadae kidogo unapata tatizo sugu la kukosa nguvu za kiume. Ni sahihi kumuacha mke ili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Za jioni wakuu Naomba ushauri, kichwa cha habari chahusika, What can I do to interest him outside work, he works like everyday, morning to late evenings, Napenda sana bidii yake kama mwanaume...
6 Reactions
80 Replies
12K Views
Nimekuwa najiuliza kuwa ni umri gani mwanaume inamlazimu kuoa au mwanamke inabidi kuolewa? Literally najua hamna miaka maalum. Lakini kuna wakati watu wanaokuzunguka wanaanza kukunyooshea vidole...
0 Reactions
97 Replies
34K Views
Kuna mdada ana mtoto wa miaka mitano ila walishaachana na baba wa huyo mtoto kama miaka miwili iliyopita. Kaja kupata jamaa ambae ni mpangaji mwenzake wakaanza mahusiano. Walikuwa na mahusiano...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
1. Habari zenu humu jukwaani! 2. Habari zenu masingle lady wote!�� 3. Habari zenu ma single boys wote ambao mnaharibu mabinti wawatu mahusiano miaka 5 na hakuna hata dalili ya...
6 Reactions
80 Replies
6K Views
Ni miaka mi 5 imepita tokea alivonisaliti na kuamua kuniacha binti huyu mrembo. Ni wiki sasa tunawasiliana na kukumbushana mambo ya zamani na jinsi tulivokuwaga wapenzi, ndio maana hata juzi...
2 Reactions
43 Replies
8K Views
Utafiti huu umefanywa na Prof Nyambo wa Muhas. Kwa kifupi ni kuwa amegundua kuwa shahawa zikikaa bila kutolewa zikajaa kwenye mapumbu zinazalisha kichocheo ambacho hakijulikani na kimachozuia...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Habari wana jamvi, Eti naomba kuuliza ni muda gani mwanaume anaweza kuishi bila kufanya mapenzi? Sababu iliyonipelekea kuuliza hivi ni kwamba, nina huyu boyfriend mpya yeye anasema hawezi kukaa...
0 Reactions
102 Replies
21K Views
Back
Top Bottom