Pesa za michango ya harusi wanandoa waruhusiwe kufanya mitaji?

DOGofGOD

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
1,341
Reaction score
481
Amani kwenu wadau,

Unakutana na wanandoa ambao siku ya harusi yao walifanya shehere ya harusi ya gharama kubwa sana.Na mamilioni ya shilingi yalikatika kwa ajili ya gharama za kukodi ukumbi,usafiri,chakula vinywaji na mbwembwe nyingine.

Lakini ukichunguza maisha ya wanandoa hao baada ya kumaliza shehere ya harusi kusema kweli inatia huruma.Unakuta wanaendelea kuishi maisha ya kuungaunga.

Nadhani muda umefika sasa hizi kamati za shehere.Ziangalie upya bajeti zao kiasi ambacho badala ya kutumia kiasi chote kinachokusanywa kukodi kumbi za kifahari na kuintateini waalikwa.Angalau wajitahidi kutumia nusu ya bajeti yao katika mambo ya sherehe na nusu inayobaki wapewe wanandoa ili ziwasaidie kupata mitaji ya kuanzia maisha.

Sababu mojawapo ya ndoa nyingi kuvunjika ni ukata uliopo katika familia.cause ukata ndio chanzo cha migogoro mingi inayopelekea ndoa nyingi kuvunjika.Kwahiyo kama wanandoa watapewa mitaji itasaidia kupunguza migogoro ambayo ndio chanzo cha tatizo la ndoa kuvunjika.

Kiepe a.k.a Baba Prosper
 
Wakitaka mtaji wakakope benki

Wabongo walivyo wanoko wakikuchangia wanataka wale wanywe hadi wafunge vya kwenda navyo home
 
Kama mitaji wajipange kivyao ila michango yetu sie twataka tusheherekee
 
Yani nimekupa mchango wangu halafu unanilisha wali maharage na maji ya kiroba,ili pesa ukaanzie maisha ntalalamikaje
mpaka hela ipotee.....
 
Khaaaa! jamani. Mchango umechanga kwa hiari yako kusaidia maharusi. Bado unausimamia hadi unyweeee, ukatikeeeee, hivi umeshindwa nini kutumia pesa yako kunywa na kufanya utakavyo kabla hujaitoa kama mchango???

Ukishatoa mchango acha utumike wapendavyo uliowachangia, sio lazima mpaka uule
 
Fikiria hili: Mtu mlevi hawezi kukosa kulewa hata kama hana hata senti tano. Ila nyumbani wanaweza kulala njaa hata siku mbili pamoja na kuwa walevi wenzake wana taarifa zake kuwa nyumbani watoto hawana chakula kabisa.

Je kwa hao walevi hapo, Priority yao ni watoto wa mlevi mwenzao au ni Kulewa kwao? Vivyo hivyo litazame pia swala la michango taona jamii inakoelekeza nguvu. Una point ya msingi ila vipaumbele vya wachangaji ni tofauti sana.
 
Jamaniiiiiiii ni kweli ulivosema but hakuna siku ambazo binaadam anatakiwa asizisahau kama hizi yatu kuzaliwa watu husherehekea birthday na kuoa au kuolewa pia ni siku ya kipekee kwa mwanadam kufa kama umejipanga fresh kwenye uhai wako ukiamini hujamkosea mola wako hata kufa kwako kutakua kuzur coz malaika watakupokea vzr ww utafurah ww unaona harus ya mwenzio bonge la harusi then yako mbaya ukumbi haukupendeza kisa unaban bajet hata kuwatolea watu cd ya harus unaona haya aaaaa bwana wacha watu wa enjoy maisha unatakiwa ujipange kabla hujaoa bwana ww huna nyumba chakula ndo ivoivo utaoaje tujipangen kwanza bas
 
Ukitaka mtaji omba mtaji.
Mtu anaomba mchango wa sherehe ya harusi ili afurahie hili tukio yeye, mwenzake, ndugu, jamaa na marafiki.
Kwahiyo hata wanaochangia wanachanga kwa lengo la kwenda kusherehekea.
 
ningekupenda bure kama ungesema michango ya harusi ifutwe. mwenye kuoa / kuolewa ajitegemee. Hii style ya kuchangiwa sijaiona kwingine zaidi ya Tanzania. Hamna sababu ya kupoteza muda kila weekend kwa karibu weekend 20 mkiongelea mapambo, keki, MC, ukumbi na mziki, chakula na vinywani..!!! harusi zote zinafanana, ujinga mtupu. michango ikifutwa hata kumbi, vyakula na vinginevyo vitashuka bei, na huo muda mnaopoteza kukaa na kuongelea kitu hicho hicho kila siku, mtautumia kutafuta pesa... Huna sababu ya kufanya harusi ya mil 100 wakati wewe muoaji/muolewaji kupata mshahara wa mil 2 tu kwa mwezi ni ndoto ya alinacha. Watanzania tubadilike. Sikumbuki mara ya mwisho nilichangia lini harusi na sijawahi kualikwa na hainisumbui maana hakuna ninachokosa. Familia yetu tukiwa na harusi tuliamua tunafanya wenyewe, hatumchangishi mtu maana tunajikuna tunakofikia.
 
michango ikifutwa hata kumbi, vyakula na vinginevyo vitashuka bei, na huo muda mnaopoteza kukaa na kuongelea kitu hicho hicho kila siku, mtautumia kutafuta pesa... Huna sababu ya kufanya harusi ya mil 100 wakati wewe muoaji/muolewaji kupata mshahara wa mil 2 tu kwa mwezi ni ndoto ya alinacha. Watanzania tubadilike. Sikumbuki mara ya mwisho nilichangia lini harusi na sijawahi kualikwa na hainisumbui maana hakuna ninachokosa. Familia yetu tukiwa na harusi tuliamua tunafanya wenyewe, hatumchangishi mtu maana tunajikuna tunakofikia.

Kuchanga mbona sio lazima?
Vikao pia sio lazima.
 
Ukiamua kuoa si umejipanga kimaisha,kama bado usioe.Na hii michango kwanza ina faida gani kama we mwenyewe huna hata mia baada ya harusi.
 
Habari za leo ndugu zangu.
Mimi nina mahusiano na dada mmoja ambaye kiujumla nampenda na nataka kufunga naye ndoa muda si mrefu.
Shida ninayoipata ni kama ifuatavyo;
1.Hataki mimi nijichanganye kwenye vijiwe baada ya muda wa kazi anasema nitaanza kufanya umalaya na mimi napenda sana kujichanganya baada ya kazi.
2.Anataka nimsikilize anachotaka na nikimshauri anasema mi ni mbishi sitaki kushindwaa,na pia nikiamua kila kitu kuitikia anasema na mzarau na nina kiburi.
3.Nikienda kanisani akija kunitembelea nikichelewa kidogo anasema umetoka kwa hawala zako na mi naumia sana na hayo maneno mpaka nahic hanitaki japo anasema tukiachana nae hawezi kuishi bora afe tu. Mi nashindwa kuelewa kama anampango gani na mimi!
Naombeen ushauri je niendelee na hatua nyingne ktk ndoa au ni kisu kwangu? Maana tukikorofishana kidodo anaanza kusema mi huwa sijawahi kupendwa nilijua unanipenda kumbe huna lolote.
 
Amani kwenu wadau,

Unakutana na wanandoa ambao siku ya harusi yao walifanya shehere ya harusi ya gharama kubwa sana.Na mamilioni ya shilingi yalikatika kwa ajili ya gharama za kukodi ukumbi,usafiri,chakula vinywaji na mbwembwe nyingine.

Lakini ukichunguza maisha ya wanandoa hao baada ya kumaliza shehere ya harusi kusema kweli inatia huruma.Unakuta wanaendelea kuishi maisha ya kuungaunga.

Nadhani muda umefika sasa hizi kamati za shehere.Ziangalie upya bajeti zao kiasi ambacho badala ya kutumia kiasi chote kinachokusanywa kukodi kumbi za kifahari na kuintateini waalikwa.Angalau wajitahidi kutumia nusu ya bajeti yao katika mambo ya sherehe na nusu inayobaki wapewe wanandoa ili ziwasaidie kupata mitaji ya kuanzia maisha.

Sababu mojawapo ya ndoa nyingi kuvunjika ni ukata uliopo katika familia.cause ukata ndio chanzo cha migogoro mingi inayopelekea ndoa nyingi kuvunjika.Kwahiyo kama wanandoa watapewa mitaji itasaidia kupunguza migogoro ambayo ndio chanzo cha tatizo la ndoa kuvunjika.

Kiepe a.k.a Baba Prosper

Kwahiyo mkuu unataka mtaji wakusanyiwe bure bure tu, yani watu watoe hela zao halafu ukawalishe vichelema vya kuku kisa kuwapa maharusi mtaji, unacheza na watu wewe. Mambo ya mtaji na maisha yao hayatuhusu!
 
Itakuwa ndio uko mbioni kuanza vikao vya harusi wewe....
 
Jamaniiiiiiii ni kweli ulivosema but hakuna siku ambazo binaadam anatakiwa asizisahau kama hizi yatu kuzaliwa watu husherehekea birthday na kuoa au kuolewa pia ni siku ya kipekee kwa mwanadam kufa kama umejipanga fresh kwenye uhai wako ukiamini hujamkosea mola wako hata kufa kwako kutakua kuzur coz malaika watakupokea vzr ww utafurah ww unaona harus ya mwenzio bonge la harusi then yako mbaya ukumbi haukupendeza kisa unaban bajet hata kuwatolea watu cd ya harus unaona haya aaaaa bwana wacha watu wa enjoy maisha unatakiwa ujipange kabla hujaoa bwana ww huna nyumba chakula ndo ivoivo utaoaje tujipangen kwanza bas

akili zinazowaza sherehe tu hizi wala hazifikirii kesho itakuwaje.
watu mnataka harusi za kifahari aafu mkimaliza mnaanza kulipa madeni, watoto wa ndugu zenu hawaendi shule kisa ada.

wengine wamekosa mikopo vyuoni lakini wengine wanaintatain sherehe za harusi.
 
Vijiweni unatafuta nini???
Kama huna cha kufanya fuga bata wakukeep busy

Habari za leo ndugu zangu.
Mimi nina mahusiano na dada mmoja ambaye kiujumla nampenda na nataka kufunga naye ndoa muda si mrefu.
Shida ninayoipata ni kama ifuatavyo;
1.Hataki mimi nijichanganye kwenye vijiwe baada ya muda wa kazi anasema nitaanza kufanya umalaya na mimi napenda sana kujichanganya baada ya kazi.
2.Anataka nimsikilize anachotaka na nikimshauri anasema mi ni mbishi sitaki kushindwaa,na pia nikiamua kila kitu kuitikia anasema na mzarau na nina kiburi.
3.Nikienda kanisani akija kunitembelea nikichelewa kidogo anasema umetoka kwa hawala zako na mi naumia sana na hayo maneno mpaka nahic hanitaki japo anasema tukiachana nae hawezi kuishi bora afe tu. Mi nashindwa kuelewa kama anampango gani na mimi!
Naombeen ushauri je niendelee na hatua nyingne ktk ndoa au ni kisu kwangu? Maana tukikorofishana kidodo anaanza kusema mi huwa sijawahi kupendwa nilijua unanipenda kumbe huna lolote.

Mengine vaa uhusika wako kama mwanaume uyathibiti mapema
 
If she realy loves you im sure you can change her so do it now before its late
 
Unatupa kazi ya ku quote mada yako maana umeleta ya kwako ndani ya ya mwenzio. Huyu ni kimeo, atakusumbua, tabia ya mtu haibadiliki, tena ukimuoa ndio atazidi. mwanamke hujaolewa hata kubembeleza na kuficha makucha huwezi...!!! huyu hapana aisee. atakutesa kupita maelezo. hata uvae ujinsia wa kiume huyu tayari ni janga. hujapata mke bado, endelea kutafuta.
Habari za leo ndugu zangu.
Mimi nina mahusiano na dada mmoja ambaye kiujumla nampenda na nataka kufunga naye ndoa muda si mrefu.
Shida ninayoipata ni kama ifuatavyo;
1.Hataki mimi nijichanganye kwenye vijiwe baada ya muda wa kazi anasema nitaanza kufanya umalaya na mimi napenda sana kujichanganya baada ya kazi.
2.Anataka nimsikilize anachotaka na nikimshauri anasema mi ni mbishi sitaki kushindwaa,na pia nikiamua kila kitu kuitikia anasema na mzarau na nina kiburi.
3.Nikienda kanisani akija kunitembelea nikichelewa kidogo anasema umetoka kwa hawala zako na mi naumia sana na hayo maneno mpaka nahic hanitaki japo anasema tukiachana nae hawezi kuishi bora afe tu. Mi nashindwa kuelewa kama anampango gani na mimi!
Naombeen ushauri je niendelee na hatua nyingne ktk ndoa au ni kisu kwangu? Maana tukikorofishana kidodo anaanza kusema mi huwa sijawahi kupendwa nilijua unanipenda kumbe huna lolote.
 
huwezi kubadilisha tabia ya mtu mzima mwenye meno 32 mdomoni. atakudanganya siku 2-3 lakini atarudi palepale. kwa kifupi hafai huyu kua mke, hata mambo ya maendeleo hayatakuwepo maana kila kitu anajua yeye.

Back
Top Bottom