Utafiti: Kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi VS ugumba

Utafiti: Kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi VS ugumba

asakuta same

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
14,829
Reaction score
5,041
Utafiti huu umefanywa na Prof Nyambo wa Muhas.

Kwa kifupi ni kuwa amegundua kuwa shahawa zikikaa bila kutolewa zikajaa kwenye mapumbu zinazalisha kichocheo ambacho hakijulikani na kimachozuia process ya kuendelea kutengeneza shahawa nyingine.

Kichocheo hiki kikiendelea kutolewa kinazuia milele uzalishaji wa shahawa (na hivyo kusababisha ugumba) Inashauriwa kufanya mapenzi walau mara moja ndani ya miezi sita ili kuzuia hili tatizo.
 

Attachments

  • IMG-20150324-WA0030.jpg
    IMG-20150324-WA0030.jpg
    50.4 KB · Views: 3,357
Noooooooo
aelezeee mechanism behind wet dreams


watu wakishafika adolscence mwili ujitengenezea njia ya kutoa semen bila hata kufanya mapenzi ambazo ni ndoto nyevu
HATA USOFANYA MAPENZI SHAHAWA HUTOKA UOTAPO NDOTO NYEVU
HUYU DR NINA WASIWASI NAE...na je vipi kuhusu watu walioishi muda mrefu bil kujamiiana na baadae kujamiiiana uzeeeni na kupata watoto?
Cc.padri babu yule
kuna scenario nyingi sana ambazo zimemfanya kushindwa kuelezea hiyo enzyme(???) inayotengenezwa hapo and by the way
kafanya utafiti bila kuzingatia factor nyingi sana kama una link yote weka hapo tusome tuichambue....
#actnow
 
Kama miezi sita sawa. Ingekuwa mwezi mmoja tu inaziba basi mm ningekuwa wa kwanza
 
kwa hali hiii na sisi tunaozibua kila siku naona haizibi inapanuka duuu kwa halii hii tusubili tundu kubwa kwenye vibofuuu
 
Back
Top Bottom