Eti mwanaume hawezi kukaa wiki bila kufanya mapenzi?

Eti mwanaume hawezi kukaa wiki bila kufanya mapenzi?

Joined
Jul 25, 2014
Posts
83
Reaction score
36
Habari wana jamvi,

Eti naomba kuuliza ni muda gani mwanaume anaweza kuishi bila kufanya mapenzi? Sababu iliyonipelekea kuuliza hivi ni kwamba, nina huyu boyfriend mpya yeye anasema hawezi kukaa wiki bila kufanya ngono na hii imempelekea yeye kua addicted na kujichua.

Ambapo kwa siku anaweza afanye punyeto mara mbili ili kuepukana kua na wasichana wengi pamoja na kuogopa magonjwa nakutulizahaja zake na kwamba kwa fano akisex tu akipita masaa 72 anakuwa na hamu ambayo haizuiliki.

Hivi ni kweli au huyu mtu anapepo la ngono kwa sababu napata picha kama nikiwa period au nikijiunga si ndio uzaledo utamshinda kabisa.

Naomba maoni na ushauri wenu
 
Uliposema tu anapiga punyeto.apo tu ndo nikamuona hana akili.huyo bwanako ni poyoyo achana nae
 
haha ,anapiga punyeto ili kujizuia ili asichepuke si unajua magonjwa mengi sikuizi, daily mara mbili mkuu
 
Hayo ni madhara ya kuzoea kupiga punyeto kila siku sasa imemuathiri ndio maana anataka kila mda afanye ngono
 
Sio kweli kwamba anakuwa na hamu ambayo haizuiliki ila kama ulivyosema yuko addicted na punyeto,na hamu yake ni ..nyeto na wala sio mwanamke,maana akishakuwa addicted na hiyo issue mwanamke anakuwa sio mtamu tena,ok?
 
Si kweli binasfi mi nimzima kabisaa nini miezi sita sijakutana na mwanamke,uyo jamaa yako sio
 
Inategemea na mtu mwenyewe na vitu alivyojaza nafsini mwake. Pia inategemea na utambuzi, ufahamu na uelewa wa mtu juu yake YEYE mwenyewe na namna anavyoshughulika na mawazo na tamaa zake mwenyewe.

Mtu hujaribiwa kwa tamaa zake Mwenyewe. vingine ni visingizio tu.

Huyo mwenzako ana tatizo la kisaikolojia, na ameshau-condition mwili wake hivyo, anahitaji juhudi za makusidi aweze kurudia hali ya kawaida. Maana tayari ameshaujengea mwili wake tabia mpya na mwili upo addictive sana kwenye mazoea.
 
​duuuhhh, anapopiga punyeto wwe unakuwa wapi???

Hatujaoana ni just a boyfriend hata mwezi hatuna anakaa kwake na mimi nakaa kwetu , so katikati ya week ni kila mtu anafanya ishu zake meeting ni weekend coz wote ni wafanyakazi sasa hiyo katikati ya week ni shida kwake
 
We ni Baunsa wa kike anakuogopa.
Sijaelewa kitu... Umesema itakuwaje ukiwa period au ukijiunga...mama baunsa unamaanisha nini.
 
We ni Baunsa wa kike anakuogopa.

Sijaelewa kitu... Umesema itakuwaje ukiwa period au ukijiunga...mama baunsa unamaanisha nini.

I mean kama wanaume mnashindwa uvumilia kabisa je mkeo akiwa period au akijifngua mnafanyaje? au ndio masturbation ina take place? nataka nijue kama wote wapo hivo
 
Boyfriend mpya........orait..... .ukinihakikishia kwamba umehakikisha anapiga puli..........
Nakupa jibu tena kidaktari.......kwamba anaweza au hawezi...........

Dr Preta.........
 
Back
Top Bottom