Jealous thug who beat mother of his four children so badly he broke her back is branded a 'lazy, violent parasite' by judge as he is jailed
Dallas Mpala, 30, attacked ex-girlfriend Gemma...
Anakumbuka kusema eeh Mungu nisaidie lakini wapi, anajaribu kusema mpenzi kumbuka pamoja na kumtumia picha zao za zamani lakini ni kitu kisichowezekana. Anashinda akilia lakini haisaidii.
Ni...
Kuna jamaa yangu leo tulikuwa kijiweni akaniambia kitu hiki, mkewe ana mtoto ila alimpata katika mazingira
yanayompa mashaka asilimia 98 na ametumia madaktari kutokana na tarehe za...
Wapendwa mimi sina hata wa kunifariji,yote hii kisa nimeachika.Nilikuwa na mpenzi wangu tuliokuwa tunapenda sana ila aliamua kuniacha bila kuniambia sababu, sasa mimi nimebaki mpweke.
Please...
Amani kwenu wadau wote wa MMU
Nimemua kuleta uzi huu kwenu ili muweze kunisaidia ushauri utakao nisaidia kupata ufumbuzi wa tatizo langu nilionao.Naamini ni utamaduni wetu tuliouzoea apa MMU...
Habari wana Jamii Forums.
Nitalieleza hili tukio kwa nafsi ya kwanza ili kulijengea hisia zaidi.Ila ni ishu serious na huyu binti anahitaji msaada haswa tena ushauri wa busara.
"Naitwa Izza...
Waungwana naamini mko salama.
Nisiwapotezee muda, ni hivi mpenzi ana marafiki wawili wa karibu, na mara nyingi akiniaga, huniaga anakwenda kwa kati ya hao wawili. Katiki hawa wawili, yupo huyu...
Habari wana MMU, ni mara yangu ya kwanza kuomba ushauri hapa jf lkn kwa hili naombeni mnisaidie.
Nilikuwa na girlfriend wakati nasoma chuo na tulipendana sana, tukapoteana ktk harakati za maisha...
Amani kwenu wadau wote wa MMU,
Leo nilikua nimejipumzisha nyumbani kwangu mida ya jioni baada ya kurudi kutoka katika mihangaiko yangu ya kila siku.Mara nikasikia kelele nyingi sana nje.
Baada...
Nlipokuwa sekondari na baadae chuo nilihisi kuwa na hisia za kimapenzi na wanawake wenzangu lakini niliweza kuzishinda na kuendelea na maisha yangu.Mwezi mmoja ulopita kuna dada kaajiriwa ofisini...
Kibwebwe jamani kibwebwe nyie acheni kiitwe kibwebwe.
Huu ni ugonjwa wangu wa mda mrefu sana kumuona mwanamke akikatika uku amejifunga kibwebwe(kipande cha khanga au mtandio kuzunguka...
Mwaka na miezi kazaa tangu nimjue sasa, nakumbuka kuna tatizo lilitokea ikabidi nimuone yeye ofisini kwao, ndo ukawa mwanzo wa penzi letu kuchipua.
Aliniweka wazi kwamba ana mchumba, ila yuko nje...
Umri wangu ni miaka 29, mkristo,elimu chuo, nimeajiriwa na niko morogoro. Nimtakae umri 30-34,awe mkristo, mwajiriwa au mjasiriamali. Mengine tutafahamiana zaidi.
Kwa PM kwa anae hitaji.
Habarini za jioni ndugu zangu,
Mimi ni dada nakaa Tabata Mangumi nilikuwa najishughulisha na biashara ndogondogo kwa kuendesha maisha pamoja na mme wangu wa ndoa aliekuwa anafanya biashara ya...
Tabia ya kumkalipia mwenzi wako hata pasipo sababu ya msingi ni tabia ya mtu binafsi au kulishwa maneno ya uongo kutoka kwa ndugu jamaa au marafiki na kama ni tabia ya mtu binafsi, Je ni afadhali...
Habari wana Jamii forums.
Ninarafiki yangu wa kike ana miaka 20 ni virgin,anatafuta rafiki wa kiume atakayeanza nae mahusiano na baadae Mungu akipenda wafunge ndoa.
Yeye ni mkristo na...
Mimi ni mwanamke wa kuanzia miaka 34-37, mkristo, nina mtoto mmoja, nimeajiriwa, natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo, awe mkristo, elimu kuanzia form four kuendelea. Awe mwaminifu na mwenye...
Mimi nina umri wa miaka 27 sijaoa, huwa nina hisia za haraka sana.
Nikigusana na jinsia ya kike huwa uume husimama ,hata nikiwa naongea na rafik yangu wa kike huwa uume husimama.
Nakumbuka...
Kwa nini ndoa nyingi za siku hizi huvunjika mapema mno?Mbona wazee wetu waliishi na changamoto zao bila kuachana? Naomba kujua nini kifanyike ili kufanya ndoa zidumu kama za wazee wetu.
Jamii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.