Salamu hizi zikufikie wewe mwana MMU

Salamu hizi zikufikie wewe mwana MMU

Malaika AD

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
496
Reaction score
316
1. Habari zenu humu jukwaani!

2. Habari zenu masingle lady wote!��

3. Habari zenu ma single boys wote ambao mnaharibu mabinti wawatu mahusiano miaka 5 na hakuna hata dalili ya ndoa.��

4. Habar zenu ma dada wote ambao mnamatarajio makubwa na ndoa lakini bado Mungu hajatoa kibali��

5. Habari zenu wakaka wote ambao mnataka kuoa lakini hamtaki tu kwa kiburi eti mpaka kutest yaliyomo na mkitest mnaacha.��

6.Habari zenu wanandoa wote ambao mmeshaoa lakini bado tentemente za wadada wa humu zinawatoa nduki��

7. Habari zenu wanandoa wote ambao mmefunga ndoa lakini mwisho wa siku mnajilaum kwanini mmewahi kuoa/kuolewa baada ya kukutana na wadada/wakaka wenye viwango.

8. Habari zenu nyote ambao mwaka huu ndio mmeanza kuingiwa na wazo la kufunga ndoa baada ya kusemwa hamuolewi/hamuoi.��

9. Habari zenu wadada/wakaka ambao mnawachumba zenu ili hali unajua kabisa wewe ni spare tyre lakini upo tu umekomaa na mahusiano.��

10. Habari zenu wadada/wakaka wote ambao wanajua nini maana ya mahusiano.��

11. Habari zenu wote humu ndani ambao mko busy na kazi kila siku hata iwe jumapili unashindwa kuchati japo salam za PM na wenzako.��


12. Habari zenu wote ambao huwa mnasali na kufanya ibada siku za sikukuu tu sasa hivi mnafikiria pasaka.⛪

13. Habari zenu wakaka wote ambao mmewavalisha pete za engagement wachumba zenu huu sasa ni mwaka wa 5, muhurumie mwenzako hiyo siyo keyholder.��

����������������
 


3. Habari zenu ma single boys wote ambao mnaharibu mabinti wawatu mahusiano miaka 5 na hakuna hata dalili ya ndoa.��


Usiharibie vijana wa mwenzio heshima tafadhali.

Ndoa ni kama mbegu ya mmea,usipoutengenezea mazingira mazuri hauwezi kuota,kuuweka ardhini tu haitoshi kuusababish auote kama ardhini hakuna maji wala virutubisho.

Kutokuolewa mabinti wengi wa ni uzubaifu wao,hawatengenezi mazingira ya kuolewa unafikiri ndoa itakujaje?,wataendelea kua michepuko hadi watakapojitambua. Wengi wanadhani kutoa papuchi ndio kuolewa,papuchi italiwa na hakuna ndoa.
 
habar yako ewe ambaye hujulikan kama ni ke au me... Na wakat huo unakula na kulala kwababa na mama

Tafadhali bwana, kwani kinakuuma nini mimi kula na kulala kwa wazazi wangu. Hata hivyo nishaondoka huko
 
Back
Top Bottom