Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Habari zenu wadau MMU,
Watu tumekuwa na style mbalimbali za kuonesha wapenzi/wake/waume zetu kuwa tunawapenda,wengine wamefikia hatua hata ya kutembea huku wakiwa wameshikana mikono,ila kuna jamaa huko Kenya yeye kaona ni heri kuweka picha ya mkewe kwenye gari.
Je hapa Tanganyika na Zenji ni wangapi wenye uwezo wa kuweka picha za wapenzi/wake/waume wao kama huo jamaa? Nyosha kidole chako juu nikuone. Au hapa watu wamezoea kuweka picha za wagombea tu kwenye uchaguzi mkuu au mdogo.
Sio lazima uwe na gari hata kwenye baiskeli,bodaboda hata bajaji unaweza pia ku show Love.
Wikiendi njema kwa wote.