Wanawake na akina dada ni kweli hii?

Wanawake na akina dada ni kweli hii?

Mpitagwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2012
Posts
2,338
Reaction score
1,127
Inasemakana mwanamke au dada akiitwa na mwanaume bila kujua anaitiwa nini, katika kuhisi nini anaitiwa, sababu tatu za kwanza moja itakuwa ni mapenzi. Yaani anaitwa ili atongozwe.

Je ni Kweli?
 
ni kweli.....japo si mara zote waitaji huwa na lengo hilo
 
Tongozo ndo kitu kikubwa hakuna kingine af inakera mijanaume ya hvo mtu upo less na mishe zako via T 11 AAZ mtu anakuita anauliza unaenda wapi unaitwa nani qummmammamae!!!!
kwani upo doria
 
Moja anahisi tongozo lakini mbili anahisi labda anataka kusifiwa kwamba ni mzuri au kapendeza lakini tatu anahisi unataka kumwomba namba za simu.
 
Back
Top Bottom