Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu zangu najua weekend imeanza wapo wajameni wenye kaugonjwa fulani kukatajanashindwa ila wao wakiwa kwenye. Irafiki wamezoeakunywa kwanza shugulia isimame . Najua ujachelwewa achaakokamchezo...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari zenu wandugu, Poleni kwa majukumu ya hapa na pale. Ijumaa ya tarehe 13 mwezi huu niliamua kwenda kupima Afya yangu hususani VVU kwani nilikuwa na wasi wasi uliosababishwa na ndoto...
6 Reactions
67 Replies
15K Views
Habari zenu wakuu.. Leo nimekutana na ishu moja inayotafutiwa ufumbuzi muda mrefu juu ya hawa wakongo na wanawake zetu. Unajua kwanini wanakuwa na jeuri mpaka wanahongwa vitu vingi.? Jibu sio...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za usiku huu wapendwa, natumai weekend ilikuwa poa sana. Leo nikiwa kwenye nyumba ya ibada fulani hivi, basi kukawa na sherehe ya akina mama. Kina mama walikuwa wamejilemba wakionekana...
17 Reactions
125 Replies
14K Views
Wakuu heshima kwenu, nimekuwa lonely kwa muda sasa, hivyo natafuta mwanaume wa kuchat nae umri kuanzia 39-43, awe single tafadhali. Aliye tayari ani PM.
1 Reactions
30 Replies
13K Views
Mara nyingi nimekuwa nikiwaona wanawake wengi wakiwa wamevaa viatu ambavyo vinaonesha sehemu kubwa ya miguu yao. Leo nikaamua nifanye utafiti kidogo ili njjue uwiano wa wanaovaa vile...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Ndugu wapendwa katika bwana, Ila nina ombi moja kwenu naomba msaa wa kimawazo kwamba hivi nini kinacho sababisha mtu[ mwanamke] anaficha baadhi ya mambo yanayo husu ukweli wamaisha yake...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Huu ujumbe mpenzi wako au yoyote yule uliyewahi kulala naye akikwambia huwa unajisikiaje?Maana kuna wengine hufurahi na wengine huchukia kulingana a mapokeo.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Nauliza tu, Je, ni kweli wanawake husahau kuwajibika kuhusu maendeleo yao binafsi pindi wawapo kwenye mahusiano na wanaume? Hapo upelekea kumtegemea mwanaume na kumtemgea mwanaume kama yeye ndo...
1 Reactions
61 Replies
7K Views
Jamani mwenzenu sihitaji mahusiano kwa sasa ila tatizo ni kilasiku nikilala lazima nijipige bao kuna siku hadi mara mbili, natokaje kwenye hilo tatizo. Msaada tafadhali
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Malavidavi yakikolea utajua vi stutus vyake; -Te amo (usituandikie spanish hujatupeleka shule wewe). -I love him/ her to the moon and back (kwani we mfanyakazi wa nasa Marekani?). -Me/ she is...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila Mwanaume,kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako hauwasumbui,kama bichwa lako ni kanyaboya,uzuri wako hausaidii kitu,na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukijaliwa kuwa msichana mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila mwanaume,kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako hauwasumbui,kama bichwa lako ni kanyaboya,uzuri wako hausaidii kitu,na...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari wakuu, Mnisamehe tu kwa tabia yangu ya kutojali nini watu wanasema kuhusu mimi or kunitusi,coz ni kawaida ya baadhi ya watoto wa kiume kuchukia wanaume pasipo reason za msingi, hasa...
2 Reactions
98 Replies
8K Views
Habari zenu, Kwa mda wa miaka miwili nimekuwa nikiishi kwenye nyumba hizi za kupanga, nimekuja kugundua wanandoa wengi haswa wanaume hupata hasira na kufokeana na mkewe pindi asipopewa huduma...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Me najishangaa nowdays hisia zimehamia kwenye ulimi najikuta nasahau kuingiza nyoka shimoni nabaki kutumia romace. Hivi hii inatokana na kitu gani wenzangu? Mwenye kujua nini inasababisha hali...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wanamalavidavi, Kuna mdada nimekuwa nae katika mahusiano ni muda kama wiki moja hivi.Anachonishangaza ni kwamba,ananiambia kuwa anasikia kwa rafiki zake kuwa mapenzi kinyume na maumbile...
1 Reactions
51 Replies
7K Views
Natafuta mwanamke mlokole ambaye baada ya kuridhika atakuwa mke,umri ni kuanzia 27 had 34.na hatakiwi mwenye mtoto zaidi ya mmoja ila ambaye hazai atapewa kipaumbele. Aliye tayari anipm
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mume kakutuoa "OUTING" kwa kinywaji and maybe nyama choma. mmefika mnakutana na washkaji wa hubby / mchepuko, hivyo mmeamua kushare meza, kama kawaida maongezi yananoga, ubishi wa kilevi unaanza...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Suala la kufanya ngono kabla ya ndoa linachangia kwa baadhi ya wachumba kutosana ingawa hili halitajwi sana na wahanga wa kutoswa,badala yake wamekuwa wakitafuta visingizio vingine. Hii inatokea...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom