Nimekutana nae tena binti aliyenisaliti

Nimekutana nae tena binti aliyenisaliti

Sikununu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
341
Reaction score
101
Ni miaka mi 5 imepita tokea alivonisaliti na kuamua kuniacha binti huyu mrembo. Ni wiki sasa tunawasiliana na kukumbushana mambo ya zamani na jinsi tulivokuwaga wapenzi, ndio maana hata juzi baada ya hizi mvua za Dar salama kuanza kunyesha zilitibua utaratibu mpaka tukavunja amri ya sita,noted mimi nimeshaoa.

Nakumbuka alinisaliti hadharani bila hata kupepesa macho.Aliniacha nikiwa nasononeka huzuni na sikitiko la muda mrefu tena hata bila kiniambia kisa cha kunisaliti na kwa kipindi chote nilikuwa najiuliza kwa nini alinisaliti, lakini sikupata jibu.Ndipo juzi tulipomaliza kunjunjana nikamuuliza nikitaka kujua ni kitu gani kilicho sababisha aka ni cheat alianza kwa kuniambia unajua Sikununu nilikuwa nakupenda, lakini yule kijana alikuwa handsome sana na wewe ulikuwa kibungo.

Nikavuta pumzi akaendelea nilikuacha kwa vile ulikuwa huna exposure ilikuwa ni right decision by that time najua nilikuumiza sana mpaka Leo nakumbuka kilio chako cha kiume,najisikia raha sana napokumbuka mwanaume wewe uliyekuwa strong na mgumu kwenye maamuzi pale ulipotoa chozi,

Lakini najua nilikupa funzo zuri sana ambalo najua mpaka leo mwanamke hawezi kukusumbua.I see how you live with your wife.Tokea tumeachana nimekuwa situlii na mtu mmoja na kila siku nalia na kujilaumu kwa tukio lile la kukusaliti ile dhambi inanitafuna kila siku naombea siku zirudi nyuma ili niweke mambo sawa lakini ndio haiwezekani,natamani Leo hii ningekuwa mke wako Sikununu najua ulinipenda sana mpaka Leo.

Mimi nikamjibu kwa kumwambia kweli ulifanya maamuzi sahihi maana kipindi chote ambacho tulikuwa pamoja nilikuwaga natafuta namna ya kukuacha but nilikuwa nashindwa cause nilikuwa nakupenda sana so nisingeweza na ningeumia sana, sasa ulipo nicheat nikaona hii ndio tiketi ingawa iliniumiza sana na mpaka Leo nimeoa still I don't believe in real love it is all about destiny.

Maneno ya huyu mrembo yaliuchoma sana moyo wangu lakini lile fukuto la kipindi chote alinitoa moyoni mwangu.
 
Kwangu ni mavi ya kale. Hawezi kunivutia tena. Tena umesema una waifu, we kweli wa ajabu, una cheat ka ulivyo cheatiwa na huyo kicheche? Tuseme hapo unamwadhibu waifu wako au huyo kicheche. Tena anakuambia hajawahi kutulia na mmoja na weye unamsikiliza. Je, ulitumia kinga?
Unahatirisha uhai wa your waifu kwa kicheche? Wanaume wengine sijui mkoje. Ningejua kwako ningepeleka hii kitu waifu wako aisome ulivyokuwa unamchafua mbafuuu kapisa. Shame on yu
 
Kweli ..nmefanya kosa kubwa sana...
Mwanamke ni nyoka maana amenihadaa mpaka nmelala nae...
Kinga nilitumia but I regret for that...
 
.........mambo ya ex-bf na gf mara nyingi baadhi yao wakikutana wanakumbushia.
Haswa kama kweli mlikuwa mnapendana kiukweli kweli.

Ila kuwa makini, usije kuukwaa ukimwi au kumbebesha mimba huyo ex.
 
Kwangu ni mavi ya kale. Hawezi kunivutia tena. Tena umesema una waifu, we kweli wa ajabu, una cheat ka ulivyo cheatiwa na huyo kicheche? Tuseme hapo unamwadhibu waifu wako au huyo kicheche. Tena anakuambia hajawahi kutulia na mmoja na weye unamsikiliza. Je, ulitumia kinga?
Unahatirisha uhai wa your waifu kwa kicheche? Wanaume wengine sijui mkoje. Ningejua kwako ningepeleka hii kitu waifu wako aisome ulivyokuwa unamchafua mbafuuu kapisa. Shame on yu

Ohoooo...........Polisi jamii tena!!!!:A S 20::A S 20:
 
Sasa siku za usoni utakuja kumsimulia mkeo ukweli wa sababu ya wewe kuchepuka?
 
halafu huwa matatizo tunayafuata wenyewe.......msalimie shem...
 
Wanawake waonage hivo hivo anaweza kwambia nakupendaaa sana na wewe ukaamini ukajisahau utajutaaaaa yalishanikutaga kitambo na nilikuwa namtimizia kila kitu
 
Back
Top Bottom