Jamani ni bora kuoa msichana wa kijijini au mjini?

Jamani ni bora kuoa msichana wa kijijini au mjini?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Wakuu,

Nina mpango wa kuoa karibuni, ila wazazi wanataka nikaoe kijijini kwa kigezo ktwa mabinti wa kijijini sio mapepe, wanajiheshimu na wanatabia nzuri sana pia sio wasumbufu hata wakija mjini.

Lakini mimi nataka kuoa mjini kwani huku kuna mabinti wazuri na wanaojua kujipamba kama malaika na sio washamba washamba.

Wakuu naomba ushari
 
dedication: wema.( akina wema hope huu wimbo umeusoma. jion sa moja kwenye papaso dijaro lazima so usikilize
 
Mpwa kwa hawa wenzetu si kijijin wala mjin kote unaweza kulia na usije ukajinyonga kikubwa fuata fikra zako unaweza kutoa kijijin mjin wakaja kukisaidia wakamzibua hadi choo
 
Profesa J na wimbo wa Zubeda ni jibu tosha hao unaowaona wamependeza mjini ndiyo hao hao kina zubeda from kijijini
 
Kama umeamua kuoa kijijini basi nawe ukae huko huko coz ukimleta mjini na akiwa na akili za kushikiwa kama Zubeda umeliwa coz ngoma za bush kwa ulimbukeni nyingi hazijambo.
Ingawa ukibahatika kumpata mwenye akili zake ni bora but mwisho wa siku sisi ni washauri tu.
 
Kaoe kijijini maana wao huogopa kupewa talaka,wa mjini ni hasara mkuu
 
Back
Top Bottom