Nimeleta hii kitu hapa ili mjifunze, hii mitandao sasa inavunja sana ndoa. Hadi michepuko wapi wanatafuta online ni hatari. Hivi watu wa jinsi hii hawaogopi ukimwi? Hawana hofu ya Mungu? Kwa nini...
Ndugu zangu nikiwa kama mchungaji,
Jambo hili siku hizi limeonekana ni la kawaida huku watu wengi wakidhani ndio njia ya kuridhishana, lakini huo ni uchafu na ni dhambi mbele za Mungu.
Zipo...
Nimekuwa nikijiuliza kwa nini huwa ni ni rahisi kumpata mwanamke unaemtaka kama ukimtumia rafiki yake wa karibu amshawishi kuliko hata ukimtongoza mwenyewe, tena wakati mwingine sio lazima awe...
Do you want to enlarge your penis and make it bigger?
Do you want to end premature ejaculation?
Do you want to last longer in bed?
If you said YES to the above questions, then I would like you...
Sijui nipoje wadau, yaani kama nimekutana na mdada nikaanza kumfukuzia ila kabla sijafika mbali nikagundua tu anakaa sinza basi naachana nae.Wasichana wanaoshi Sinza siwaelewi elewi yaani, naona...
Salamu wana MMU,
Mi nawaasa kina dada kua makini katika suala zima la mahusiano wamekua wakisahau wajibu wao wakiwa kama wanawake.
Mwanamke ana sehemu kubwa ya kumshawishi bwaba wake amfikishe...
Mwenzenu kusema ule ukweli kabisa cjawahi kufika Zanzibar, na hivi karibuni nimepata kijisafari cha kwenda huko sasa nataka kujua Haya:- hivi na huko kuna bar kama hizi za huku uswahilini kwetu...
Habari wana JF,
Naitwa Allen, nimekuwa na mpenzi kwa muda sasa, lakini naona mapenzi yamepungua, ilikuwa kawaida yake kunipigia simu asubuhi hata hata kabla ya kwenda kazini au kunitumia text ya...
Hujawahi kufikiria na hutaweza kuamini, lakini ukweli ndio huu. Wewe unaweza kuwa sababu kubwa sana ya mpenzi wako kuonekana ana kasoro kibao,hawezi kuwa mpenzi sahihi kwako henda ni kwasababu ya...
Mi ni kijana umri 34. Nimeajiriwa serikalini pia nimejiajiri kwa sehemu. Natafuta mdada aliyetayari kuwa na mume na familia.
Awe anaishi DSM, umri 21-30, atleast diploma/bachelor holder hata...
Kina dada,maisha ya upweke yamenichosha mwenzenu,natafuta mpenzi hatimae aje kuwa mke wangu,wa maisha,umri uanzie miaka 18 hadi 33 mwisho,sina vigezo vingine vyovyote,dini yoyote,kabila...
Habari Wadau,
Kuna jamaa yangu amekuja kunitembelea nikamsuluhishe na mke wake analalamika kuwa mke wake ni mjamzito na amekuwa mwenye fujo lugha mbaya,na hata kumuona hadi atake yeye tofauti na...
Kuna tofauti kubwa baina ya mwanamke na mwanamue wanapokuwa katika tendo la ndoa.
MWANAMKE:
1) Aibu huongezeka.
2) Nguvu za mwili humuishia na mwili hulegea.
3)Uwezo wa kufikiria...
Habari zenu WanaMMU,
"Perfection is not attainable, but if u chase for perfection, you can catch excellence", those aren't my words but the words of Vince Lombardi.
Hapa Vince alijaribu kuelezea...
Katika mahusiano ya mke na mme mtu na mpenzi wake utafiti unaonyesha kwamba pindi mwanamke akifumania mme mara nyingi humpiga mke aliyemfumania na mmewe bali si mmewe na pindi mme amfumaniapo...
Najua ananipenda na kusema ule ukweli nampenda ila naogopa kuwa nae kwasababu kaolewa na ameshazaa na mume wake mtoto mmoja.
Lakini kafikia hatua ya kuniambia ananipenda ila naogopa kuwa kwenye...
Wakuu,
Nina mdogo wangu Wa kike, ambae amefukuzwa kazi kwa kumnyima bosi wake mzigo ni kwamba hiyo kazi nilimtafutia miimi kutokana na kufahamiana na hr manager aa hiyo taasisi na ndie...
Kinacho nitokea saizi mpaka najuta Mimi Nina mke ila katika pitapita zangu nikakutana na kabinti kanasali kwa nabii flora nikakapenda nikawa natoka nako takrabani sasa miezi Saba sasa.
Majanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.