MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Yale mapenzi ambayo inafikia sehemu mtu unaangua kilio kabisa kwa ule wimbo wa End of the Road wa Boyz II Men? ..... Although we've come, to the end of the road, still I can not let you go.............Its so natural, you belong to me, I belong to you?? Naona kama haya ya siku hizi ni yale ya Bwana eh kama vipi, we anza na mie natambaa? Sio ya kwenye ndoa wala nini!! Iko wapi nafasi ya mwanamke/mwanaume katika kuhakikisha kuwa penzi lake kwa ampendaye linadumu?