Wanawake wenye Mwanya au kidoti/alama cheusi

Wanawake wenye Mwanya au kidoti/alama cheusi

ha ha...
mwanya+kidoti >>brains?
Sidhani,,.labda sio mimi.
Smart women rock!..no matter what.
 
da! yani mi kwa wanawake wa aina hiyo, breki hazikabi, zaidi pale wanapokuwa na "migongo!"
 
mie mwanya wanidatisha ile mbaya hasa akismile,nikimwangalia anatabasamu dah napenda sana.
Ila mnene no.
 
Kwa staili hiyo utasema sema hata wanaume wasio na manyoa yanayolinda geti ndo wanapendwa sana na wanawake

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mie mwanya wanidatisha ile mbaya hasa akismile,nikimwangalia anatabasamu dah napenda sana.
Ila mnene no.
Mambo ya mwanya hayoooo,usicheze na mwanya bana,acha kabisa,nahisi unajua kuutumia ili ufurahi....hahahahh
 
Mwanamke anaye vutia ni yule anae jitunza nakuvaa hijabu...vingine mbwembwe
Sometimes mbwembwe hunogesha Mchezo,just imahine watu kama Ronaldinho gaucho,Zidane,Gabriel batistuta,Jay jay Okocha,Taribo West na wengine mbwembwe zao ndo ziliwafanya wapendwe wawapo uwanjani.
 
Haaa! Mwananchi wa pemba; mie sitaki kusikia kabisa habari za hijabu!
Nilie nae anavaa hijabu muda wote lakini ni mhuni kupindukia mpaka nomenyoosha mikono. Hijabu mkuu hakuna kitu!
 
Back
Top Bottom