kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,669
Jamani kuna msichana jirani yangu nimezoeana naye sana, sijawahi tongoza cause sikuwa na plan naye but nina namba yake so huwa nachat naye.
Kwenye chatting huwa kananitegatega mara oh njoo tulale,sasa leo kimvuamvua hiki kimenishawishi nimtolee uvivu, nimemuomba mzigo kupitia simu.
Nilivyomuomba akasema naogopa, nikamuuliza unaogopa nini? Akajibu mimba. Nikamuuliza kwani condom hazipo? Akasema condom zinaumiza. Nimemuuliza so inakuwaje? (bado hajanijibu).
Je ni kweli condom zinaumiza au anataka kunipa ngwengwe?