Nifanye nini ili kuacha kabisa mapenzi ??

Nifanye nini ili kuacha kabisa mapenzi ??

NITIKE NDOSI

Senior Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
153
Reaction score
86
[KISA CHA KWELI KABISA]
Hili ni swali ambalo jamaa yangu mmoja.alikuwa akijiuliza na wakati mwingine
alikuwa akiniuliza mimi pia.
Jamaa anadai amekuwa akijitahidi sana aachane na habari za mapenzi aishi
yeye kama yeye lkn akikaa baada ya muda kidogo anajikuta anauhitaji
wa kutaka kufanya.
Kama masiala vile jamaa kaamua kuchukua maamuzi magumu, amekata filimbi
yake,na sasa yupo HINDUMANDALI anauguza jeraha
Na kusema kweli hali yake ni mbaya sana.Na kweli kama jamaa atapona
atakuwa amepata suluhisho la tatizo lake
 
xo filimbi yake imepona??? c kajitia kilema jaman??? angechkua tu hatua zingine km za kujikip bizy kwa namna yoyote kama kufanya mazoezi. kuangalia vipindi mbalimbali au movies zingine ambazo hazichochei miemko ya kimwili kufikia kutaman hlo tendo badala ya kuchkua hatua alitochkua ambayo inaeza icsaidie chochote.
 
Huyo rafiki yako mbona hatari hivo...
hayo mapenzi ni yapo Adam na Eva walikatazwa wakashindwa itakuwa yeye........,
Masista na Mapadri kutwa wanahaha na wanajua mtiti wake
afu mkuu nikuulize huyo jamaa hataki kabisa au anataka kupunguza kutafuna njunjunju....?cos kuacha kabisa ni kazi hasa kama ulishaanza kuilamba hiyo asali
 
...kichwa maji huyo,nadhani amejitwisha boga na sio kichwa...
 
viungo vyote ni lazima vifanye kazi kama ni vizima,utakataje mguu ili usiweze usitembee? awe makini anaweza kuwa shoga baadae.
 
Mtoa mada umechelewa ungeleta hii mada kabla haja nyofoa hicho kifanyio chake, huoni sasa ni too late...?

Jamaa ameshakata kifanyio basi tena ndio mapenzi amesha ya acha hivyoo..!!!
 
Hebu ambatanisha kopi ya pf3 yake.
Vinginevyo fafanua Hindu Mandal wamempokeaje mgonjwa huyo wakati hiyo ni kesi ya jinai???
NITIKE NDOSI
 
Last edited by a moderator:
wakristo mmesahau lile andiko linasema km jicho lako likikukosea ling'oe... ni afadhali kuingia Mbinguni ukiwa chongo kuliko kwenda jehanamu na macho yote mawili... labda bwana kaka katumia hyo refence, ila umechelewa kuleta mada ilitakiwa ije kipindi anakuomba ushauri wa afanyaje...
 
Hebu ambatanisha kopi ya pf3 yake.
Vinginevyo fafanua Hindu Mandal wamempokeaje mgonjwa huyo wakati hiyo ni kesi ya jinai???
NITIKE NDOSI
MKUU sipo kwa ajili ya kubishana wala kufurahisha jukwaaa
ukitaka amini hivyo,usipotaka funga safari uende ukajionee maajabu ya mussa
 
[KISA CHA KWELI KABISA]
Hili ni swali ambalo jamaa yangu mmoja.alikuwa akijiuliza na wakati mwingine
alikuwa akiniuliza mimi pia.
Jamaa anadai amekuwa akijitahidi sana aachane na habari za mapenzi aishi
yeye kama yeye lkn akikaa baada ya muda kidogo anajikuta anauhitaji
wa kutaka kufanya.
Kama masiala vile jamaa kaamua kuchukua maamuzi magumu, amekata filimbi
yake,na sasa yupo HINDUMANDALI anauguza jeraha
Na kusema kweli hali yake ni mbaya sana.Na kweli kama jamaa atapona
atakuwa amepata suluhisho la tatizo lake

Akajha mwelu munda a.k.a Ndosi munda
 
Mtoa mada umechelewa ungeleta hii mada kabla haja nyofoa hicho kifanyio chake, huoni sasa ni too late...?

Jamaa ameshakata kifanyio basi tena ndio mapenzi amesha ya acha hivyoo..!!!
Mwanzoni nilikuwa nahisi labda jamaa ni hasira za kutendwa,sikuipa uzito kivile!!
 
dah.. Hasira gani izooo... huyu jamaa akiarisha wiki moja atayakata makalio yake.. ana hasira sana..
 
Atakua amejifunza lakn! Nadhan baada ya muda kitaota kichokonoleo kingine japo kijibamia kidogo tu, so ataweza kupiga game nyepesi nyepesi!
 
Hebu ambatanisha kopi ya pf3 yake.
Vinginevyo fafanua Hindu Mandal wamempokeaje mgonjwa huyo wakati hiyo ni kesi ya jinai???
NITIKE NDOSI
Bujibuji na wewe mzaliwa wa Mjini UNAWAAMINI HAWA VIJANA yaani hata magazeti ya Shigongo hayajainasa hiyo story
Wewe ungewajibu huyo jamaa akitoka Hindu Mandal anakaribishwa kwa wale jamaa wanaopunga (Mapunga/Mabwabwa/tigo)
 
Last edited by a moderator:
Kama upo Dar es Salaam, nenda pale maeneo ya Gerezani kwa wale Wahunzi halafu wape order ya kukutengezea CHUPI YA CHUMA, halafu utafute na kufuli kubwa la VERO au SOLEX...baada ya hapo kitie Rumande hicho kifanyio chako ndani ya hilo Jichupi la chuma...mwisho funguo ya kufuli uimeze.
Problem Solved!!!!
 
huyo apimwe akili zake kama ziko sawa, coz is not normal!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom