Jamani nisaidieni kunipa ushauri,
Kila nikitongoza mwanamke akinikataa badae anakuja kugundulika na maambukizi ya VVU.Imenitokea kwa mabinti kama 7 nilio watongoza wakanikataa nakunitupia maneno...
South African doctors have confirmed that they performed the world's first successful penis transplant, three months after conducting the ground-breaking operation.
The 21-year-old patient had...
Habari zenu jamani,
Mie nahisi stress zitanitoa roho, toka my boy kufariki nahisi sipo sawa kabisa, coz kila anaekuja kwangu naona mizinguo tu, sijui nifanye nini niwe na amani na furaha kama zamani.
Nilikuwa napiga story na watu fulani wanasema wazazi wengine wenye watoto formfour wakirudi mashuleni wanapewaga dawa za majira ama kwakujua amakutokujua kuzuia mimba.
Je hii ni suluhisho?
Kwanza natanguliza shukran zangu kwa mimi kuwa mgeni humu na kujiunga nanyi wenzangu na nimejiunga humu baada ya kugundua kuwa pana faida kubwa kuliko hasara. nahitaji mwanamke ambaye atakuwa...
Heri ya pasaka wandugu,
Hivi huu ulimwengu wa kimahusiano siku hizi mbona kama umepoteza dira sana,Yani unakuta mtu anaingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mtu mmoja ila baada ya wiki kadhaa...
Ukiona uhusiano uliopo hauendi vile unavyotamani uende waza upya,ukiona kila siku ni wewe tu unayeumia na kuumizwa na anayekuumiza hajali japo ni mwepesi wa kulia michozi ndoo nzima pindi...
Mambo vipi wataalamu wa mapenzi,
Naomba mnipe mbinu za kuishi na galfriend wangu bila kukwazana nae, udhaifu wangu mkubwa mimi ni mtu mwenye hasira za haraka na mwenye kupenda kulalamika hata kwa...
Mi binafsi hiki kitu sikipendi kabisa,
kitendo cha wazazi wa mwanamke kuwapa nyumba ama kiwanja kabla ya ndoa au siku ya ndoa kama zawadi...
mi hiki kitu sitaki kabisa kije nitokea maishani naona...
Jaman nimerud nilipokulia kwa lengo la kujumuika na familia sikukuu.
Ila nimeshangazwa sana kukuta mabinti wengi nilio soma nao na wengine kuwaacha kiumli % kubwa wamezalishwa bila kuolewa na...
Nimekuja mkoa kusalimia nyumba ni kidogo nikakuta kuna msichana wa kazi chapakazi hadi raha nikampenda sana kwa Tabia yake ya kuchapa kazi nakujielewa yupo kazini hadi nikawa natamani nipate...
Unapokuwa na msichana katika mahusiano akionyesha mapenzi yake ya dhati juu yako apo awali,halafu ghafla anaanza kubadili tabia isivyo kawaida.
Kwa wale wenye experience juu ya hali hii...
Hapa naongelea ukhanithi wa kuzaliwa nao na si ule wa kupata ukubwani kutokana na sababu mbalimbali kama maradhi ajali na ulemavu
Pamoja na kuwepo mabandiko mbalimbali kuhusu hili tatizo baya...
Habari zenu wana jamvi,
Kiukweli mimi nawapa pole za mizunguko ya siku na nawapa pole na changamoto za maisha ya mahusiano na changamoto za mabosi kwa mlioajiriwa,hii mada imeshadiscusiwa humu...
Ni binti ambaye wazazi wake walishafarik kipindi kirefu kilichopita, ila wazaz wake enzi za uhai wao walikuwa hawaelewani hadi kufikia kuachana, baada ya mama yake kufarik binti alilelewa na bibi...