Simwelewi huyu

Huyo sitaki nataka sasa kama anakuja home mvutie kwenye movie Kidog alafu usifanye makosa siwez kusema naogopa TCRA waseje kunitafuta lol
 
Kama wewe uliye karibu naye humuelewi, je sisi tusiomjua kabisa tutamuelewa vipi?
 
Mwambie akutafute kwa simu uko busy.
Mitoto ya siku hizi haijui kutongoza na hata haijui kusoma body language
 
Kuna binti hapa mtaani kwetu simuelewi, mwanzoni sikua na story nae ila baada ya muda akanizoea tukaanza kuchangamkiana kama kawaida mpaka ikafikia some times anakuja home ,ananitumia salam kila akikutana na sista angu na kadhalika., ila huyu kila nkimwomba namba ananipiga chenga nyingi ..ooh mara sina simu(wakati anayo), na visingizio kibao...kifupi tuu hataki kunipa namba ake, sasa nkiamua kumpotezea yeye bado ananitafuta yani hata simwelewi...wataalamu vipi hapo!

Changamkia papuchi hiyo, ichape ilale
 
usicheke na nyani..... samaki hafundishwi kuogelea. mpe kitu roho inapenda, nyambaf. cku ingine usilete upuuzi wako humu.
 
Mwambie asije home bila kukupigia simu kwanza kwenu wanamindi.
 
Hiyo namba yake anaijua yeye tu!.
Kama unataka kumtongoza kwa simu tafuta namba kwa watu otherwise approach her face to face
 
sasa no. ya simu ya nn....akija mulemule mpe mineno asali mikono palapatipalapati....myuuu wazungu waleeeeee ulaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom