Msaada: Mi huwa siachi wala kuachwa, nifanye nini?

Msaada: Mi huwa siachi wala kuachwa, nifanye nini?

Last emperor

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
10,346
Reaction score
9,891
Salaam wana JF,

Nina tatizo ninapoingia kwenye mahusiano na mwanamke huwa siwezi kuachana nae na wala yeye hatoweza kuniacha, tunaweza potezana hata miaka mitano, lakini siku tukikutana lazima 'tukumbushie.

Wengine tutagombana na inaweza pita miezi, lakini from no where tutarudiana na tukikutana lazima tutapiga mechi ya kirafiki, na pia wengine wanakuja kuolewa lakini hawaishi kunitumia msg za I miss you na tukikutana lazima tuduu, japo hii ndio hunitisha zaidi.

Nifanye nini nibadilike? Naomba mnishauri
 
Unapoingia huwezi kuachana nae, miaka mitano mnakumbushia, wengine mnagombana from no where mnarudiana na mnapiga mechi. Tafadhali weka sawa hauelewiki mkuu
 
Wewe ndiye mwamuzi wa mwisho inabidi ubadilike, inawezekana
 
Hivi unadhani kiukweli kuna wa kumkamata Chelsea katika mbio za Ubingwa England? Hata kama Costa kaumia tena lakini inaonyesha Remy ana uwezo wa kufunga decisive goals..we unaonaje?
 
Unapoingia huwezi kuachana nae, miaka mitano mnakumbushia, wengine mnagombana from no where mnarudiana na mnapiga mechi. Tafadhali weka sawa hauelewiki mkuu

Acha kuchosha watu kama hujaelewa alicho eleza umepata wapi uwezo waku mnukuu mnajifanya "much know" kumbe ovyooo.kama huwezi kushauri kakimyaa kwani lazima ushauri.
 
U r so Weird dude.. how can U survive in this world without learning to say the word NO to certain thing.. gosh
 
Unafahamu kama kuna mchakato wa kujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura?

Kwa hili nakuunga mkono kuna masuala mengi ya msingi ambayo mtu anaweza weka tukajadili kuliko huu uzi unaohusu maisha binafsi ya mtu bila kuwa na maslahi kwa wengi
 
mada kama hizi zinawachangiaji wengi ndo mana watu wanapost.hii inaonyesha wepesi kichwani wa watumiaji wengi wa JF
 
Mbona hilo jambo ni la kawaida sana kwa wengi.
 
Nenda kapime kwanza!! kama hujaathirika uje tukushauri vizuri...
Kwa sababu sijaona kama kuna la maana ulilolisema hapa..
 
Nani alikwambia wapenzi uachana?, ni likizo tu kama zingine mkikutana tena mambo kama kawaida
 
KaMaa umeOna kUachwA huachWi na KuAchAa hiaChi. Basi Jiachee pengine uTakuwa UmefAnYaa maAAMUZI YA kiuMe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom