Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,597
Habari wana Jukwaa,
Siku zote huwa naamini kujipenda kwanza ndio hasa kunakopelekea mtu kujiamini na hata pia watu wengine watakuheshimu na kukupenda baada ya kugundua unajijali.
Sio siri swala la unadhifu hasa wa mwili na mavazi ni vitu ambavyo mimi kama moja ya vijana wengi wa ki leo ni moja ya vitu ambavyo nimevipa umuhimu.
Hili liko hivo hata kwa marafiki zangu wa karibu na nadhani ni kwa vile hata wao wana attributes kama zangu.Imepelekea watu wengi kunikubali nimepata marafiki wengi wapya na hata pia kuna baadhi ya wasichana wamekuwa wakinisifia kwamba niko very smart.
Kuna dhana ambayo imejengeka siku hizi kwa baadhi ya watu juu ya vijana wenye kupenda kuwa smart,yani utakuta mtu anaanza kukuita mijina ya ajabu kama "SHAROBARO".Binafsi nachukizwa sana na hilo jina because i know i'm a very authentic kind of person to be called such a stupid nickname.
Wana jamii naombeni mnieleze huyu "SHAROBARO" ni mtu wa namna gani?