Wasichana wembamba warefu weupe wananichanganya sana

Wasichana wembamba warefu weupe wananichanganya sana

JOYSTICK

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2014
Posts
221
Reaction score
57
Yaani nikikutagana nao barabarani lazima nigeuke.Sipendi mabonge, napenda awe mwembamba ambae hana makalio,mzuri,mrefu na mweupe.Ingawa demu wangu ana sifa zingine isipokuwa rangi inanifanya niwe na mawazo ya labda nimwache.

Nishaurini nifanyeje
 
sa demu mwembamba utamshika wapi.... kuchomana tu na mifupa
 
sasa kama huwataki wenye makalio makubwa unashika nini wakati wa kuwala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom