Ndugu zangu wanajukwaa habari zenu!!!!
jamani,ninamwaka mmoja mbele au miwili najipanga kuoa ila changamoto ipo hapa...kuna binti nilimpenda na ninampenda sana na kama angekubari basi angekuwa jibu la ombi langu....lakini dalili ambazo zipo kama hanihitaji...nazidi kupiga moyo konde kutokana nakwamba nampenda najifariji kuwa siku moja atasikia kilio changu....ila kwa upande mwingine kunabint ananihitaji sana naye pia ni wife material, ila bahati mbaya nakosa upendo kwake kabisaaaaa....nimekuwa nikijikaza kuwa karibu naye ila bado naona roho yangu inakuwa mbali naye.mpaka sasa nashindwa nifanye nini, nitafute mahusiano mapya nje ya wawili hawa,nivumilie wa kwanza au nijikaze kumpenda kibishi anaye nipenda then mm niko mbali!!!!hata zawadi natamani kutoa ila,nikimpa ambaye nampenda nayy yuko mbali nami "hata shukurani walaaa",wapili anashukuru sanaaa na atafurahi japo kwangu nikama nimejilazimisha kumpa vile na inaniuma.
NOTE:MKE NI ZAIDI YA KATIBA MPYA,KWASABABU PINDI UKIOA HAFANYIWI AMENDMENT.NAOMBA USHAURI WENU WANAJUKWAA.