Kipi bora kwa mwanaume kati ya super 3 hizi

baloz89

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
1,228
Reaction score
1,815
Hbr wanaJF
Huku duniani kuna mambo xn hasa ktk tasnia ya mapenz na mahusiano hasa ktk enz za kizaz hiki cha dot com.mapenz hayana tena guarantee,yaani leo una exist na fulan kesho umeperish na mwingine anatake over....taaaaaaaaaaam hiyoooo
Kuna jamaa yangu jana tu yamemkuta kwa bint fulan ambaye i used to col her in law kwa kipind kirefu tu.....jana kapgwa chini puuuuuuuu mpaka vumbi utadhani dakar car race,ila dalil za hli tukio la jana alianza ziona bt c unajua kupenda tena akaamua kuwa tolerant

Huku kuachwa kwake kumeenda sambamba na kutambulishwa kwa njemba ingine iliyojengeka mwil barabara,,yaani jamaa amepata suprise ya pasaka cjui kama ataipenda tena pasaka kwa yaliyomkuta ktk cku hii.Asa nilimsikia akiongea kuwa bora angemuwahi kumuacha angalau ingepooza pain au wangeachana maana angekua kajiandaa kuliko kupigwa dwn...na kuna raia wanaxema bora kuacha au kuachana kuliko kuachwa maana c unakua bado unahitaji et

Had muda huu jamaa hataki hata kula,zile zawad alokua kanunua anazo,hatoki nje zaidi ya toilet na kurudi ndani,hataki ushaur cjui hata tutamsaidiaje.Kwa namna ninavoona hal ya jamaa nimeona bora kuacha kuliko kuachwa maana nasikia maaumivu yakeeeeeeeee..........ebu njoooni mtueleze mliowahi achwa xana xana wanaume ulifeel aje
 
mie huwa siumii mana huwa nakuwa na ziada ya wanawake wengine pembeni
 
Watu wengi humu hawajui kwamba mintarafu ya JF sio kama ya Facebook
 
Hakuna kitu nachochukia kama MTU anaandika Meseji alafu anatumia 'x' sehemu isiyostahili an
 
Hbr wanaJF
Huku duniani kuna mambo xn hasa ktk tasnia ya mapenz na mahusiano hasa ktk enz za kizaz hiki cha dot com.mapenz hayana tena guarantee,yaani leo una exist na fulan kesho umeperish na mwingine anatake over....taaaaaaaaaaam hiyoooo
Kuna jamaa yangu jana tu yamemkuta kwa bint fulan ambaye i used to col her in law kwa kipind kirefu tu.....jana kapgwa chini puuuuuuuu mpaka vumbi utadhani dakar car race,ila dalil za hli tukio la jana alianza ziona bt c unajua kupenda tena akaamua kuwa tolerant

Huku kuachwa kwake kumeenda sambamba na kutambulishwa kwa njemba ingine iliyojengeka mwil barabara,,yaani jamaa amepata suprise ya pasaka cjui kama ataipenda tena pasaka kwa yaliyomkuta ktk cku hii.Asa nilimsikia akiongea kuwa bora angemuwahi kumuacha angalau ingepooza pain au wangeachana maana angekua kajiandaa kuliko kupigwa dwn...na kuna raia wanaxema bora kuacha au kuachana kuliko kuachwa maana c unakua bado unahitaji et

Had muda huu jamaa hataki hata kula,zile zawad alokua kanunua anazo,hatoki nje zaidi ya toilet na kurudi ndani,hataki ushaur cjui hata tutamsaidiaje.Kwa namna ninavoona hal ya jamaa nimeona bora kuacha kuliko kuachwa maana nasikia maaumivu yakeeeeeeeee..........ebu njoooni mtueleze mliowahi achwa xana xana wanaume ulifeel aje

McHeki RAS SIMBA kupitia namba hii 0712530956 ataKusAidia ndani ya mUda mfupi.
 
WE mtoto jiandae na kidato cha tano au atleast nenda kijijini ukawasalimie ndugu au hamia facebook.
 
Hayo ni matatizo ya kuwekeza kwenye mapenzi badala ya kuwekeza kwenye SHUGHULI zako.
Binafsi huwa siachi mwanamke, natengana naye tu kwa muda, mwanamke akiniacha huwa NAFURAHI sana, kwani anakuwa kanipunguzia matumizi na kuniongezea muda wa kufanya kazi.
Mapenzi ni kama DALA DALA, abiria mmoja akishuka mwingine anapanda.
 
Hakuna kitu nachochukia kama MTU anaandika Meseji alafu anatumia 'x' sehemu isiyostahili an

Hivyo ni viashiria vya tabia za kike. Mwanaume akiwa anaandika hivyo, muangalie kwa jicho la tatu.
 
Back
Top Bottom