Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.3K
Threads
7.5K
Posts
210.3K

JF Prefixes:

Ona tofauti kubwa kati ya kuwa na mke au kuwa na girlfreind 1. Mke anamsaidia mume wake kumanage his finances properly. Girlfriend anamsaidia boyfriend wake ku spend pesa zake 2. Mke ni...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Siku hizi mapenzi ni pesa, utajiri, ana gari gani, ana nyumba ama kapanga, na kama huna vitu hivyo utaitwa mwanaume suruali. Na kwa vile wigo wa kujua nani kafanya nini na wapi umepanuka sana...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hbr zenu wana JF. Nimeombwa ushauri na ndugu wa karibu sana. Baada ya kumwona mumewe hajatulia mkeakachachamaa waende kupima ndo mambo mengine yaendelee yaani ilikuwa hapaliki wala kukalika, ndipo...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Asilimia kubwa ya wanaume walio chini ya miaka 35 wakiingia lodge na condom wanatoka nazo kama zilivyo...hali hii imefanya baadhi ya lodge brazil kuweka alarm ya kuwakumbusha wazinzi kila...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi na mpenzi wote ni wafanyakazi kabla hatujaenda kwa wazazi kujitambulisha,imetokea mpenzi wangu kapata ujauzito,na anasema hayupo tayari kuzaa kwa sasa,sababu kubwa kwao ni mtoto wa kwanza na...
0 Reactions
104 Replies
7K Views
  • Redirect
Kila shetani na mbuyu wake jamani, kuna watu wanaosema huwa wanavutiwa sana (hanjamu) wakiona tu michirizi hasa ile ya kushuka kiunoni, na ndio maana wanaume wengi huwa bize sana wakiona mdada...
1 Reactions
Replies
Views
Nimekutana na rafiki yangu ambaye ni MWANANDOA wa miezi michache akaniomba USHAURI juu ya tatizo lake la kuwahi kupiga bao mapema sana wakati wa tendo la ndoa na kumfanya mwenzake ashindwe kuelewa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
A Chinese woman has been arrested after forcing her boyfriend to kneel in the street and repeatedly slapping him around the face. The man was accused of cheating on the woman after bringing...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Umesahau birth day yangu???? “as mwenza ulikuwa ukimpelekea keki/maua/zawadi kabla ya kutengana” Hata kunipigia na kunisalimu “kwani mekukosea nini?” ina maana lengo lako lilikuwa kugegedana tu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
^^ Hili kundi la BADO NIPÖNIPO KWANZA nimekuwa nikiwatazama namna wanavyofurahia maisha yao ya mapenzi,,mapenzi ambayo yakikutana na kibao kinachoitwa NDOA basi gari linapiga rivasi na kurudi...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
:flypig:wazazi japo hawajaweka wazi sababu ila tokea mwanzo niliwahi kuskia wakisema kusini kuna imani za kishirikina bt ninavyojua mm hata kaskazini cku hizi wachawi wapo na kwamba nikiolewa huko...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Hoteli, Lodge na Nyumba za kulala wageni ni nyumba ambazo zimejengwa kwa ajili ya kupokea wageni mbali mbali wanaotoka sehemu za mbali za maeneo hayo wakija kwa shughuli mbali mbali kikazi...
2 Reactions
69 Replies
6K Views
Habari wana Jamvi. Nina rafiki wa karibu hapa, Yeye ni dereva taxi wamependana kwelikweli na mdada flani hivi tangia binti huyo anasoma. Walikubaliana akishamaliza tu waoane ila sasa mdada kwa...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Hapa nazungumzia kumsaidia mpenzi wako wa kike aliye chuoni fedha za matumizi. Je, ni sahihi? Na kama usipomsaidia akapata shida upendo wako kwake utakuwa na maana yoyote? Wadau ushauri tafadhali
0 Reactions
13 Replies
4K Views
PIPOOOOOOOOOOZ!!! PAWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!! Jamaa wenyewe wana ushirikiano utadhani Xavi Hernandez na Andres Iniesta kwa kule spain, au kwa Bongo ni kama Nyoshi El Sadaat na Pablo masai...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuuu... Natumai mu wazima wa afya kabisa... Na kwa wale wagonjwa mungu awapenafuu pia.. Back kwa mada hapo juu... Ijapo kua msemo "mke mwema anatoka kwa mungu" na imani juu ya ndoa...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari wakuu! Nilianzisha uhusiano wa kimapenzi na dada mmoja miezi 6 iliyo pita. Tumependana,na tunajaliana kwa hali zote. Shida inakuja pale tu ninapo muomba game, analeta lame excuses...
1 Reactions
67 Replies
8K Views
smile ni kitu cha msingi sana katika mapenzi,mtu siku nzima umenuna,haucheki,wewe ni serious muda wote kama mjeda kazini,charming inamwondolea mwenzio stress,inampa hope,inampa courage,KWA NINI...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Moyo wangu umejaa jamani, natka maneno mazur mazuri tu ya kunifariji. Mwenye kipaji cha kufariji naomba faraja wapendwa. Ndoa hizi tunazitamani ila tukishaingia mambo yanakua mseto.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom